Dr. Mwakyembe yuko fit sasa.....?

Ugua pole Mh. Dr. Mwakyembe ..... tunakuombea urudi nyumbani na kujenga Taifa lisilo na kisasi
 
Wakuu naomba mnijuze mambo mawili: kwanza hivi imeshakuwa comfirmed kwamba Dr. alipewa sumu (hiyo pollonium 236) ? Pili hiyo ni chemically gani kwa wenzetu mliobobea kwenye chemistry? Nawasilisha.



I guess that you believe in the same God I believe(the LORD God of Abraham,Isack and Jacob,the living and the almighty one),so how could you dare to 'doubt' the LORD's ability over pollonium 236!? you are telling us how dreadful effects of radioactive work but forgetting how great is our God(the God who created the heaven,the Earth,pollonium 236 and all things),God is powerful over all things),amen
 
huyo jama bado anaumwa tena sana....wakati anatoka tanania aliuwa anatembena nakuongea vizuri tu...msione picha hiyo mkadhani amepta nafuu...bado anaumwa sana....
 
Tumuombee mungu Dr. huyu apone mapema na asichoke kuendeleza harakati zake
Tz bila ufisadi inawezekana kabisa....................
 
Mungu aliye juu ya yote atakuponya dr.watanzania wote wako pamoja nawe ila naona kyela sasa ndiyo mwisho wa ccm kwani haiwezekani na hamna sababu ya kuenzi ccm iliyofilisika kifikra ndani ya kyela badala ya kulitumia vyema jembe hili wanaliharibu.ccm bye bye
 
Pole Mh Mwakyembe kuugua ni sehemu ya maisha ya mwanadamu, rudi nyumbani uchape kazi
 
''Niite nami nitakuitikia. Nami nitakuonyesha mambo makubwa, magumu usiyoyajua''. Amemwita Bwana. Watu wenye upendo wa kindugu wamemwita Bwana. BWANA atatenda
 
Magamba wabaya sana yaani wamemuotesha kada wao magamba hivi hivi!!!!!! Lakini mjue mliomfanyia hivyo mwenzenu hamtaishi milele.
 
Pichani Dr .wa kweli aliye enda shule sio ya kupewa akiwa amepozi na madaktari waliomtibu wa Hospitali aliyolazwa
DSC_7029.JPG
Safi,tunamtakia kila la kheri arudi nyumbani kuendelea na majukumu yake ikiwa ni pamoja na kutueleza ni yapi aliyoya sitiri ili kuilinda serikali.Kama ana amini Mungu amemponya,basi he should do his will!

Huo ni ushauri tu,otherwise atakuwa hana shukrani siyo tu kwa watanzania waliomwombea afya njema,bali huyo Mungu anayemwanini.

Ni jukumu la serikali kuwaambia wananchi ukweli kuhusiana na issue hizi za Richmond,Dowans na sasa Symbion.

Dr Mwakyembe,the truth and only truth,shall set you free.

May the almighty answer our prayers.That we need the truth and only truth.
 
Nimependa sana sura za hawa wauguzi zilivyokua na matumaini.

Uwezi kukuta sura za hivi pale Mwananyamala Hospitali au Temeke Hospitali..

Pamoja na kutimiza miaka 50 ya uhuru lakini watu wamechoka


Get well soon Dr Mwakyembe.

Mkuu Riz1, watu wengi sana bongo wanafanya kazi wasizopenda sababu ya shida. Upande mwingine, watu hawataki kukutana na changamoto za kuwafanya wafurahie mazingira ya kazi zao, Uelewa mdogo wa namna ya kuzifanya kazi zao, Pamoja na kutofuata maadili ya kazi zao na hii inatokana na kelele za kila siku watu wanasikia viongozi wao wanafanya madudu ya ajabu kitu kinachowavunja nguvu ya kufanya kazi kwa moyo mkunjufu.
 
nimependa sana sura za hawa wauguzi zilivyokua na matumaini.

Uwezi kukuta sura za hivi pale mwananyamala hospitali au temeke hospitali..

Pamoja na kutimiza miaka 50 ya uhuru lakini watu wamechoka

wakati mwingine masaburi yako yanafanya kazi ee?
 
ningesitika sana kama m/mungu akimchukua mapema mpiganaji na mafisadi waendelee kupata uhai wakati mafisadi wanaendelea kutufilisi na kufanya kila siku maisha kwetu kuwa magumu kila uchao
 
16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom