Rais Dkt. Hussein Mwinyi amejipanga kwenye nini??

Bush Dokta

JF-Expert Member
Apr 11, 2023
12,151
20,321
Kwanza Nimpe Pole Sana Dr Hussein Mwinyi kwa kuondokewa na Baba Yake Kipenzi Mzee Rais Mstaafu Ali Hussan Mwinyi Kilichotokea Mwezi uliopita Tar 29 Feb 2024.

Mungu aiweke Roho ya Marehemu mahali pema peponi.

Salamu zingine leo ni kumpongeza Rais Dr Hussein Mwinyi kwa kazi nzuri anayofanya Ktk Visiwa vya Zanzibar.

Amejipanga kuleta mabadiliko ktk Nyanja zote za kijamii, Uchumi na Maendeleo.

Tangu alipoingia madarakani Wananchi wa Zanzibar wanashuhudia mabadiliko kadha wa kadha hasa ujenzi wa miundo mbinu barabara, shule, hospitali, na mifumo ya kisiasa imeimarika.

Licha ya hayo Kwa Ukarimu wake na umahiri wake wakutebda kazi bado huwezi kumsikia akijigamba. Siku zote kauli yake ni, sisi tume......tuta.....tuna....

Zanzibar imekuwa na utulivu, amani, na maendeleo yameanza kuonekana.

Tunamuombea kwa Mungu azidi kumjalia Khekima, Umoja na Upendo ili azidi kuwatumikia Wazanzibar kwa nguvu zote.

Kwa utulivu ulioko Zanzibar kwa sasa inaonekana Raia wote wamemkubali

Insha Allah Asalam Aleykum.
 
Kwanza Nimpe Pole Sana Dr Hussein Mwinyi kwa kuondokewa na Baba Yake Kipenzi Mzee Rasi Mstaafu Ali Hussan Mwinyi Kilichotokea Mwezi uliopita Tar 29 Feb 2024.

Mungu aiweke Roho ya Marehemu mahali pema peponi.

Salamu zingine leo ni kumpongeza Rais Dr Hussein Mwinyi kwa kazi nzuri anayofanya Ktk Visiwa vya Zanzibar.

Amejipanga kuleta mabadiliko ktk Nyanja zote za kijamii, Uchumi na Maendeleo.

Tangu alipoingia madarakani Wananchi wa Zanzibar wanashuhudia mabadiliko kadha wa kadha hasa ujenzi wa miundo mbinu barabara, shule, hospitali, na mifumo ya kisiasa imeimarika.

Licha ya hayo Kwa Ukarimu wake na umahiri wake wakutebda kazi bado huwezi kumsikia akijigamba. Siku zote kauli yake ni, sisi tume......tuta.....tuna....

Zanzibar imekuwa na utulivu, amani, na maendeleo yameanza kuonekana.

Tunamuombea kwa Mungu azidi kumjalia Khekima, Umoja na Upendo ili azidi kuwatumikia Wazanzibar kwa nguvu zote.

Kwa utulivu ulioko Zanzibar kwa sasa inaonekana Raia wote wamemkubali

Insha Allah Asalam Aleykum.
Dr Hussein anaonekana ni Mnyenyekevu sana. Anaweza kuishi na Watu wa jamii zote na wenye mwelekeo tofauti kimtazamo.

Kwa kaliba hii atafanikiwa sana zaidi ya hapa alipo
 
Watanganyika tumedhulumiwa.
Angekuwa makamu wa raisi wa JMT Sasa angekuwa anatuletea uongozi safi na huku kwetu.
CCM waliomtaka JPM achague makamu yule mwingine wametukosea sana.
 
Huenda atakuwa Rais wa JMT Insha Allah
 
Back
Top Bottom