Ahsante serikali ya CCM kwa kutuondolea kero hizi

HUSSEN KAMBI

Senior Member
Dec 4, 2023
171
210
Lazima tushukuru tukifanyiwa jema sasa hivi hakuna mgao wa umeme hakuna shida ya maji hakuna uhaba wa ajira kila mtanzania ana ajira sasa hivi hospitali zote zina madaktari wa kila haina Wanapatikana kuhusu madawa kila haina hivi sasa zinapatikana kuhusu shule zina walimu wa kutosha tena wanatoa elimu bora shule sasa hivi bure kila kitu kuanzia ki ingilio Hadı fom nadaftari chakula mitihani viatu mabegi vyote hivi vinagaiwa bure na serikali

Pembejeo bure masoko ya yamejaa umeme upo wa kutosha mpaka mwengine tunauza nchi jirani sasa hivi polisi hawabambikiii raia kesy hospitali sasa hivi ulipii hakuna mgonjwa anae zuiwa kisa ana daiwa, sukari hilikua bei kubwa sasa hivi imeshuka hadi kilo imefika 1200 kutoka 2700 sasa hivi kila mtanzania ana kula milo mitatu tena anakula anacho kitaka sio alicho kipata tunaishukuru ccm na serikali yake kwakutujali watanzania na ndio maana baada ya Serikali yetu kutufanyia hayo tumeamua nguvu zetu zote tuzipeleke kwenye mipira na miziki wenye akili ndio watakao nielewa.
 
Lazima tushukuru tukifanyiwa jema sasa hivi hakuna mgao wa umeme hakuna shida ya maji hakuna uhaba wa ajira kila mtanzania ana ajira sasa hivi hospitali zote zina madaktari wa kila haina. Wanapatikana kuhusu madawa kila haina hivi sasa zinapatikana kuhusu shule zina walimu wa kutosha tena wanatoa elimu bora shule sasa hivi bure kila kitu kuanzia ki ingilio Hadı fom nadaftari chakula mitihani viatu mabegi vyote hivi vinagaiwa bure na serikali pembejeo bure masoko ya yamejaa umeme upo wa kutosha mpaka mwengine tunauza nchi jirani sasa hivi polisi hawabambikiii raia kesy hospitali sasa hivi ulipii hakuna mgonjwa anae zuiwa kisa ana daiwa, sukari hilikua bei kubwa sasa hivi imeshuka hadi kilo imefika 1200 kutoka 2700 sasa hivi kila mtanzania ana kula milo mitatu tena anakula anacho kitaka sio alicho kipata tunaishukuru ccm na serikali yake kwakutujali watanzania na ndio maana baada ya. Serikali yetu kutufanyia hayo tumeamua nguvu zetu zote tuzipeleke kwenye mipira na miziki wenye akili ndio watakao nielewa
Jifunze kwanza Hati mkato na Kuandika Ndo uwe #Pusher mkuu....

Ukishajua kuandika Vizuri Ruksa kupush Tag mkuu..
MWandiko Mbaya sana mkuu..
Na mkuu sukari umenunua wapi 1200 kwa kilo..

Huo mwaka gani unauzungumzia Mwaka 2001 au ?

Ukiwa Hastag Pusher Jifunze kuwa na Aibu pia
 
KERO kubwa kwa sasa ni umeme hawa machizi wanasema tuwape muda.......mi nadhani hata mishahara yao pia inabidi na sisi wahasibu watupe muda maana computer zina zima zima charg..........mishahara mpaka tarehe 50
 
Lazima tushukuru tukifanyiwa jema sasa hivi hakuna mgao wa umeme hakuna shida ya maji hakuna uhaba wa ajira kila mtanzania ana ajira sasa hivi hospitali zote zina madaktari wa kila haina Wanapatikana kuhusu madawa kila haina hivi sasa zinapatikana kuhusu shule zina walimu wa kutosha tena wanatoa elimu bora shule sasa hivi bure kila kitu kuanzia ki ingilio Hadı fom nadaftari chakula mitihani viatu mabegi vyote hivi vinagaiwa bure na serikali

Pembejeo bure masoko ya yamejaa umeme upo wa kutosha mpaka mwengine tunauza nchi jirani sasa hivi polisi hawabambikiii raia kesy hospitali sasa hivi ulipii hakuna mgonjwa anae zuiwa kisa ana daiwa, sukari hilikua bei kubwa sasa hivi imeshuka hadi kilo imefika 1200 kutoka 2700 sasa hivi kila mtanzania ana kula milo mitatu tena anakula anacho kitaka sio alicho kipata tunaishukuru ccm na serikali yake kwakutujali watanzania na ndio maana baada ya. Serikali yetu kutufanyia hayo tumeamua nguvu zetu zote tuzipeleke kwenye mipira na miziki wenye akili ndio watakao nielewa
CHAWAAAAAAAAAAAAA.
Alisikika mwananchi mmoja
 
Haya ndo majambaz na mashetani maccm hasa maviongoz yanapenda sifa kama hzi.
 
Tatizo la watanzania hata kiswahili tunachojinasibu ni lugha ya mawasiliano,ukichunguza pia hatujui. Swali linabaki tunajua lugha gani???.tatizo la ujinga litazidi kuenea vizazi na vizazi hii ni kutokana na mfumo mpya wa uchawa
 
Jifunze kwanza Hati mkato na Kuandika Ndo uwe #Pusher mkuu....

Ukishajua kuandika Vizuri Ruksa kupush Tag mkuu..
MWandiko Mbaya sana mkuu..
Na mkuu sukari umenunua wapi 1200 kwa kilo..

Huo mwaka gani unauzungumzia Mwaka 2001 au ?

Ukiwa Hastag Pusher Jifunze kuwa na Aibu pia
Jifunze hekima kama kitu ujaelewa achana nacho lakini kama ume elewa kijibu hayo maswala kuandika ujui andika vizuri hapa sio darasani wewe ukiona kuandika sijui acha kusoma nilicho andika wewe ukiona Husseni kambi pita usi shughuluke nae mbona wenzako hawa shughuliki na hilo la kuandika wa ambie ccm wenzako waboreshe elimu mimi sijasoma kwa ajili ya utaratibu mbovu uliowekwa na chama chako cha nzi wa kijani,
 
Lazima tushukuru tukifanyiwa jema sasa hivi hakuna mgao wa umeme hakuna shida ya maji hakuna uhaba wa ajira kila mtanzania ana ajira sasa hivi hospitali zote zina madaktari wa kila haina Wanapatikana kuhusu madawa kila haina hivi sasa zinapatikana kuhusu shule zina walimu wa kutosha tena wanatoa elimu bora shule sasa hivi bure kila kitu kuanzia ki ingilio Hadı fom nadaftari chakula mitihani viatu mabegi vyote hivi vinagaiwa bure na serikali

Pembejeo bure masoko ya yamejaa umeme upo wa kutosha mpaka mwengine tunauza nchi jirani sasa hivi polisi hawabambikiii raia kesy hospitali sasa hivi ulipii hakuna mgonjwa anae zuiwa kisa ana daiwa, sukari hilikua bei kubwa sasa hivi imeshuka hadi kilo imefika 1200 kutoka 2700 sasa hivi kila mtanzania ana kula milo mitatu tena anakula anacho kitaka sio alicho kipata tunaishukuru ccm na serikali yake kwakutujali watanzania na ndio maana baada ya Serikali yetu kutufanyia hayo tumeamua nguvu zetu zote tuzipeleke kwenye mipira na miziki wenye akili ndio watakao nielewa.
Kuishi kwa shemeji na tena kwa muda mrefu ndiyo husababisha wewe kuwa na akili mgando kama hizi. Yaani shemeji yako anapogharamia umeme wa jenereta, wewe unaona kuwa tatizo la mgao wa umeme limekwisha, na pale dada yako anapobinya bajeti ya familia na kukupa wewe fedha, basi unaona maisha umeyapatia na wala hakuna tatizo la ajira.
 
Jifunze kwanza Hati mkato na Kuandika Ndo uwe #Pusher mkuu....

Ukishajua kuandika Vizuri Ruksa kupush Tag mkuu..
MWandiko Mbaya sana mkuu..
Na mkuu sukari umenunua wapi 1200 kwa kilo..

Huo mwaka gani unauzungumzia Mwaka 2001 au ?

Ukiwa Hastag Pusher Jifunze kuwa na Aibu pia
Ishu siyo mwamdiko, hicho ni kijembe kwa serekale thithiemu
 
Lazima tushukuru tukifanyiwa jema sasa hivi hakuna mgao wa umeme hakuna shida ya maji hakuna uhaba wa ajira kila mtanzania ana ajira sasa hivi hospitali zote zina madaktari wa kila haina Wanapatikana kuhusu madawa kila haina hivi sasa zinapatikana kuhusu shule zina walimu wa kutosha tena wanatoa elimu bora shule sasa hivi bure kila kitu kuanzia ki ingilio Hadı fom nadaftari chakula mitihani viatu mabegi vyote hivi vinagaiwa bure na serikali

Pembejeo bure masoko ya yamejaa umeme upo wa kutosha mpaka mwengine tunauza nchi jirani sasa hivi polisi hawabambikiii raia kesy hospitali sasa hivi ulipii hakuna mgonjwa anae zuiwa kisa ana daiwa, sukari hilikua bei kubwa sasa hivi imeshuka hadi kilo imefika 1200 kutoka 2700 sasa hivi kila mtanzania ana kula milo mitatu tena anakula anacho kitaka sio alicho kipata tunaishukuru ccm na serikali yake kwakutujali watanzania na ndio maana baada ya Serikali yetu kutufanyia hayo tumeamua nguvu zetu zote tuzipeleke kwenye mipira na miziki wenye akili ndio watakao nielewa.
Wewe unagombea uwenyekiti wa mtaa au kitongoji?

Umezunguka nchi nzima ukaona kero za wananchi jinsi wanavyoteseka au wewe ni wale wa ndiyooooo.

Vijijini hatuna barabara za kupitisha mazao yetu kwenda kwenye masoko unasema CCM imefanya mengi??
Watu hatuna waganga kwenye zahanati zilizojengwa wewe unasema kila kitu bwerere??? Kama umetumwa basi kaandike kwenye mitandao nyingine siyo JF.
 
Lazima tushukuru tukifanyiwa jema sasa hivi hakuna mgao wa umeme hakuna shida ya maji hakuna uhaba wa ajira kila mtanzania ana ajira sasa hivi hospitali zote zina madaktari wa kila haina Wanapatikana kuhusu madawa kila haina hivi sasa zinapatikana kuhusu shule zina walimu wa kutosha tena wanatoa elimu bora shule sasa hivi bure kila kitu kuanzia ki ingilio Hadı fom nadaftari chakula mitihani viatu mabegi vyote hivi vinagaiwa bure na serikali

Pembejeo bure masoko ya yamejaa umeme upo wa kutosha mpaka mwengine tunauza nchi jirani sasa hivi polisi hawabambikiii raia kesy hospitali sasa hivi ulipii hakuna mgonjwa anae zuiwa kisa ana daiwa, sukari hilikua bei kubwa sasa hivi imeshuka hadi kilo imefika 1200 kutoka 2700 sasa hivi kila mtanzania ana kula milo mitatu tena anakula anacho kitaka sio alicho kipata tunaishukuru ccm na serikali yake kwakutujali watanzania na ndio maana baada ya Serikali yetu kutufanyia hayo tumeamua nguvu zetu zote tuzipeleke kwenye mipira na miziki wenye akili ndio watakao nielewa.
hahahahha wenye akili kubwa tu ndo wataelewa
 
Jifunze hekima kama kitu ujaelewa achana nacho lakini kama ume elewa kijibu hayo maswala kuandika ujui andika vizuri hapa sio darasani wewe ukiona kuandika sijui acha kusoma nilicho andika wewe ukiona Husseni kambi pita usi shughuluke nae mbona wenzako hawa shughuliki na hilo la kuandika wa ambie ccm wenzako waboreshe elimu mimi sijasoma kwa ajili ya utaratibu mbovu uliowekwa na chama chako cha nzi wa kijani,
Mkuu mwenye Hekima kwanza Hukubali kwamba alikosea...
mwanzoni ulibananisha sana Herufi na maneno Na hukuacha nafasi ya aya wala Hakukuwa na Nukta..

Japo baadaye ulifanimisha kuweka Nakushukuru kwa hilo..

It was Sarcasm..

Kuhusu Ulichoandika Mwanzoni sikukielewa ila niliporudi tena kusoma nikagundua ulikuwa na maana gani na Kweli kabisa umeandika sahihi..
Na Nchi tunakoelekea Tutaipoteza kabisa
 
Jifunze kwanza Hati mkato na Kuandika Ndo uwe #Pusher mkuu....

Ukishajua kuandika Vizuri Ruksa kupush Tag mkuu..
MWandiko Mbaya sana mkuu..
Na mkuu sukari umenunua wapi 1200 kwa kilo..

Huo mwaka gani unauzungumzia Mwaka 2001 au ?

Ukiwa Hastag Pusher Jifunze kuwa na Aibu pia
Inaonekana hujamuelewa mtoa mada..!! Ni fasihi tu hapo imetumika kufikisha ujumbe kwa hadhila aliyoikusudia..!!
 
Lazima tushukuru tukifanyiwa jema sasa hivi hakuna mgao wa umeme hakuna shida ya maji hakuna uhaba wa ajira kila mtanzania ana ajira sasa hivi hospitali zote zina madaktari wa kila haina Wanapatikana kuhusu madawa kila haina hivi sasa zinapatikana kuhusu shule zina walimu wa kutosha tena wanatoa elimu bora shule sasa hivi bure kila kitu kuanzia ki ingilio Hadı fom nadaftari chakula mitihani viatu mabegi vyote hivi vinagaiwa bure na serikali

Pembejeo bure masoko ya yamejaa umeme upo wa kutosha mpaka mwengine tunauza nchi jirani sasa hivi polisi hawabambikiii raia kesy hospitali sasa hivi ulipii hakuna mgonjwa anae zuiwa kisa ana daiwa, sukari hilikua bei kubwa sasa hivi imeshuka hadi kilo imefika 1200 kutoka 2700 sasa hivi kila mtanzania ana kula milo mitatu tena anakula anacho kitaka sio alicho kipata tunaishukuru ccm na serikali yake kwakutujali watanzania na ndio maana baada ya Serikali yetu kutufanyia hayo tumeamua nguvu zetu zote tuzipeleke kwenye mipira na miziki wenye akili ndio watakao nielewa.
Huku kwetu sukari imeshuka hadi 600/=
Yaani mia sita tu toka 2,700/=.
Ahsante sana kwa serikali yetu sikivu.
 
Back
Top Bottom