Dr. Mwakyembe: Nikirudi nitamwaga yote kwa watanzania nimechoka sasa....

Mbunge wa Kyela na Naibu waziri wa Miundombinu Dr Harrison Mwakyembe ametamka maneno magumu akiwa kwenye matibabu nchini India,Mwakyembe amesema akirudi salama atamwaga yote yanayomsibu bila kuficha hata nukta moja maana amechoka na hawezi kuvumilia tena...

Akaendelea kusema Watanzania waendelee kumuombea maana anaendelea vyema na Allah akimsaidia akanyanyuka kitandani basi wategemee siri nzito ambayo haikuwai kufahamika Tanzania....

Hii imekuwa ni baada ya kuibuka kwa hoja nzito kuwa kuna Watanzania wanataka kuuwawa akiwemo Dr Harrison Mwakyembe,hoja yangu ngoja tusubiri tuone mambo yatakuwaje baada ya kufika,naamini Mungu mkubwa atamnyanyua toka kitandani.

Get well soon Dr Harrison Mwakyembe and Prof Mwandosya...

please lete source ya habari yako maana isije ikawa unatuzuga tu.
Hata hivyo ALLAH hawezi kumsaidia maana alishindwa hata kumsaidia Osama Gaddafi na wengine wengi tu ungesema MUNGU atamsaidia hapo ningekuelewa.
 
another kuku journalism!!

alikua wapi siku zote

we dramatize hawa drama queens.............

naomba niseme kitu kimoja na mods this time msidiliti

WAPUMBAVU WOTE INCLUDING MWAKYEMBE.......... WANALETA SIASA ZA KIPUUZI, KAMA KWELI ANAIPENDA NCHI ALIKUA WAPI???
Mkuu, salute
 
Bila ya mwanzisha thread kutupa authentic source ya hii habari, I will give this thread a deserved "trash" tag.

Needless to mention that all the subsequent contributions which haven't questioned the auntencity of the source are (sorry guys) equally "trash"!
Well said'!!!! Nakubaliana na wewe Mia kwa mia
 
Na Balali alisema hivyo hivyo na hakurudi! Sidhani ni muhimu kutoa tahadhari, au anataka abenbelezwe? Angemute tu, halafu angewasuprise na press conference!

Nakubaliana na wewe kabisa,

Haya hayakuwa maneno ya kusema wakati amelala hospitali....Ameshindwa nini kuvumilia na kusubiri apone......????

Some smart guys can send their doctors to make it a dream which never came.........Huyu baba ajifunze kuwa na kifua kigumu kama kweli anapenda aje kukumbukwa kama mwanasiasa mwenye heshima na mchango wa maana kwa hii nchi!
 
kwa sasa nawaona kama tintin

kulalama hakuishi, toka basi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Ni kama mwanamke kutwa kulalama ndoa chungu, ukimwambia acha mumeo basi anatoa macho kama fundi saa

Ha ha haaa! Huujui msemo wa ndoa chungu lakini tamu?
Back to Mwakyembe, kama kweli unayakuwaeleza waTZ ni bora anyamaze kimya! Asuri apone aje aeeleze. Asije akafanya tuambiwe kafa lakini hakuna anayejua alipozikwa kama ilivyokuwa kwa Balali.
 
kwa sasa nawaona kama tintin

kulalama hakuishi, toka basi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Ni kama mwanamke kutwa kulalama ndoa chungu, ukimwambia acha mumeo basi anatoa macho kama fundi saa

Ha ha haaa! Huujui msemo wa ndoa chungu lakini tamu?
Back to Mwakyembe, kama kweli unayakuwaeleza waTZ ni bora anyamaze kimya! Asubiri apone aje aeleze. Asije akafanya tuambiwe kafa lakini hakuna anayejua alipozikwa kama ilivyokuwa kwa Balali.
 
SAMMOOSSES:
Hofu kuu hapa ni kweli atarudi au tayari plastic surgery imechukua mkondo wake?tuna hukumu kutokana na historia.kila mwenye siri nzito akipelekwa huwa arudi,sasa tunaogopa isije ikawa adios amigos.Ushauri wa bure kwa Dr. MWAKYEMBE chonde chonde kama unaweza kuongea hata huko mwaga ugali ili nasi huku tumwage mboga.Uzuri kuna vyombo vikubwa kama Reuter BBC.Germany vitaongea bila kumumunya maneno.

Dr.sema sema usiogope sema kwani si haramu nzi kufia kwenye kidonda mwisho wakukolimbe tusisikie na hiyo siri under carpet.
 
Mbunge wa Kyela na Naibu waziri wa Miundombinu Dr Harrison Mwakyembe ametamka maneno magumu akiwa kwenye matibabu nchini India,Mwakyembe amesema akirudi salama atamwaga yote yanayomsibu bila kuficha hata nukta moja maana amechoka na hawezi kuvumilia tena...

Akaendelea kusema Watanzania waendelee kumuombea maana anaendelea vyema na Allah akimsaidia akanyanyuka kitandani basi wategemee siri nzito ambayo haikuwai kufahamika Tanzania....

Hii imekuwa ni baada ya kuibuka kwa hoja nzito kuwa kuna Watanzania wanataka kuuwawa akiwemo Dr Harrison Mwakyembe,hoja yangu ngoja tusubiri tuone mambo yatakuwaje baada ya kufika,naamini Mungu mkubwa atamnyanyua toka kitandani.

Get well soon Dr Harrison Mwakyembe and Prof Mwandosya...

Hiyo siri bora aimwage mapema akiwa huko huko, itasaidia, maana wanaweza wakammaliza kabisa akiwa huko huko kuficha ukweli.
 
another kuku journalism!!

alikua wapi siku zote

we dramatize hawa drama queens.............

naomba niseme kitu kimoja na mods this time msidiliti

WAPUMBAVU WOTE INCLUDING MWAKYEMBE.......... WANALETA SIASA ZA KIPUUZI, KAMA KWELI ANAIPENDA NCHI ALIKUA WAPI???

Hujui usemacho wewe, Mwakyembe alishasema mangapi na wewe ulikuwa wapi? Alishasema hadi kuhusu afya yake na maisha yake, alishatoa ripoti ya kutaka kuuawa kwa IGP walichukua hatua gani? sasa yuko kitandani unatakaje? Muogope Mungu maana hujui ya kesho
 
Mbunge wa Kyela na Naibu waziri wa Miundombinu Dr Harrison Mwakyembe ametamka maneno magumu akiwa kwenye matibabu nchini India,Mwakyembe amesema akirudi salama atamwaga yote yanayomsibu bila kuficha hata nukta moja maana amechoka na hawezi kuvumilia tena...

Akaendelea kusema Watanzania waendelee kumuombea maana anaendelea vyema na Allah akimsaidia akanyanyuka kitandani basi wategemee siri nzito ambayo haikuwai kufahamika Tanzania....

Hii imekuwa ni baada ya kuibuka kwa hoja nzito kuwa kuna Watanzania wanataka kuuwawa akiwemo Dr Harrison Mwakyembe,hoja yangu ngoja tusubiri tuone mambo yatakuwaje baada ya kufika,naamini Mungu mkubwa atamnyanyua toka kitandani.

Get well soon Dr Harrison Mwakyembe and Prof Mwandosya...

Amekupigia simu akakuambia,
Amekutumia msg,
Uko nae huko,
Umesoma kwenye gazeti,
Umemsikia mtu akisema,
Umehisi,
Ama?
 
Huyu mtoa mada katumwa nini ? Maana hapa sioni Logic Mwakembe hawezi kulopoka haya maneno aliyo yasema huyu jamaa, ili iweje ? Ma great thinker muwe mnafikilia maneno mengine watu wengine wametumwa humu.

Mkuu acha kuropoka ropoka tu...tafuta magazeti ya leo habari hii pia nimesikia imeandikwa,usidhani na sisi ni mapunguani kama wewe..kiswahili kibovu kama mtoto mdogo..sasa hapo kwenye red ulikuwa unamaanisha nini?
 
Wewe only83, chanzo cha habari hii ni kipi? Dr. Mwakyembe alimwambia nani?

Kama source ni wewe mwenyewe, ningeomba umshauri hiyo ''SIRI'' 'aiweke hadharani mapema maana hao anaowafichia siri sasa wanaweza kwenda kummalizia huko huko alipo.

Kama siri yenyewe ipo kwenye maandishi, si ampe hata mwanasheria wake aitunze, with a note ''to be opened only in the event of my death''
 
please lete source ya habari yako maana isije ikawa unatuzuga tu.
Hata hivyo ALLAH hawezi kumsaidia maana alishindwa hata kumsaidia Osama Gaddafi na wengine wengi tu ungesema MUNGU atamsaidia hapo ningekuelewa.

Source:Ndugu yake!! Acha upunguani,allah ni lugha tu,ni sawa na kusema Jehova,God nk...usipumbazwe kiasi hicho wewe...
 
Mbunge wa Kyela na Naibu waziri wa Miundombinu Dr Harrison Mwakyembe ametamka maneno magumu akiwa kwenye matibabu nchini India,Mwakyembe amesema akirudi salama atamwaga yote yanayomsibu bila kuficha hata nukta moja maana amechoka na hawezi kuvumilia tena...

Akaendelea kusema Watanzania waendelee kumuombea maana anaendelea vyema na Allah akimsaidia akanyanyuka kitandani basi wategemee siri nzito ambayo haikuwai kufahamika Tanzania....

Hii imekuwa ni baada ya kuibuka kwa hoja nzito kuwa kuna Watanzania wanataka kuuwawa akiwemo Dr Harrison Mwakyembe,hoja yangu ngoja tusubiri tuone mambo yatakuwaje baada ya kufika,naamini Mungu mkubwa atamnyanyua toka kitandani.

Get well soon Dr Harrison Mwakyembe and Prof Mwandosya...

Habari Nzito hii!!. Balali alisemaga hivi hivi!! Matokeo yake he didn't made it to say what he had in mind!!. Though i believe one day atasema!!
 
Mbunge wa Kyela na Naibu waziri wa Miundombinu Dr Harrison Mwakyembe ametamka maneno magumu akiwa kwenye matibabu nchini India,Mwakyembe amesema akirudi salama atamwaga yote yanayomsibu bila kuficha hata nukta moja maana amechoka na hawezi kuvumilia tena...

Akaendelea kusema Watanzania waendelee kumuombea maana anaendelea vyema na Allah akimsaidia akanyanyuka kitandani basi wategemee siri nzito ambayo haikuwai kufahamika Tanzania....

Hii imekuwa ni baada ya kuibuka kwa hoja nzito kuwa kuna Watanzania wanataka kuuwawa akiwemo Dr Harrison Mwakyembe,hoja yangu ngoja tusubiri tuone mambo yatakuwaje baada ya kufika,naamini Mungu mkubwa atamnyanyua toka kitandani.

Get well soon Dr Harrison Mwakyembe and Prof Mwandosya...

Mkuu, inaniwia vigumu kidogo kuyaamini hayo uliyotuhabarisha. Hayo maneno alikuwa akimwambia nani? Ili iweje? Kwamba afikishe ujumbe kwa wa TZ kwamba ana siri nzito? Hard to believe! Katika ulimwengu huu wa teknolojia lukuki, angeweza tu kujirekodi kwa tahadhari kwamba ikitokea bahati mbaya (siombei kamwe) akashindwa kurudi, basi wa TZ waupate huo ujumbe kupitia kwa msiri wake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom