Dr. Mwakyembe: Nikirudi nitamwaga yote kwa watanzania nimechoka sasa....

only83

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
5,343
2,525
Mbunge wa Kyela na Naibu waziri wa Miundombinu Dr Harrison Mwakyembe ametamka maneno magumu akiwa kwenye matibabu nchini India,Mwakyembe amesema akirudi salama atamwaga yote yanayomsibu bila kuficha hata nukta moja maana amechoka na hawezi kuvumilia tena...

Akaendelea kusema Watanzania waendelee kumuombea maana anaendelea vyema na Allah akimsaidia akanyanyuka kitandani basi wategemee siri nzito ambayo haikuwai kufahamika Tanzania....

Hii imekuwa ni baada ya kuibuka kwa hoja nzito kuwa kuna Watanzania wanataka kuuwawa akiwemo Dr Harrison Mwakyembe,hoja yangu ngoja tusubiri tuone mambo yatakuwaje baada ya kufika,naamini Mungu mkubwa atamnyanyua toka kitandani.

Get well soon Dr Harrison Mwakyembe and Prof Mwandosya...
 
Al shabab ama siri ipi tena... Asije akawa mfa maji... Aje na wimbo mpya siyo kuuwawa kila mara... Navuta subira kumsubiri Get wel
 
Get well soon Dk Mwakyembe.Tunakuombea kwa MUNGU urudi salama nyumbani.
 
Mbunge wa Kyela na Naibu waziri wa Miundombinu Dr Harrison Mwakyembe ametamka maneno magumu akiwa kwenye matibabu nchini India,Mwakyembe amesema akirudi salama atamwaga yote yanayomsibu bila kuficha hata nukta moja maana amechoka na hawezi kuvumilia tena...Akaendelea kusema Watanzania waendelee kumuombea maana anaendelea vyema na Allah akimsaidia akanyanyuka kitandani basi wategemee siri nzito ambayo haikuwai kufahamika Tanzania....

Hii imekuwa ni baada ya kuibuka kwa hoja nzito kuwa kuna Watanzania wanataka kuuwawa akiwemo Dr Harrison Mwakyembe,hoja yangu ngoja tusubiri tuone mambo yatakuwaje baada ya kufika,naamini Mungu mkubwa atamnyanyua toka kitandani.

Get well soon Dr Harrison Mwakyembe and Prof Mwandosya...
another kuku journalism!!

alikua wapi siku zote

we dramatize hawa drama queens.............

naomba niseme kitu kimoja na mods this time msidiliti

WAPUMBAVU WOTE INCLUDING MWAKYEMBE.......... WANALETA SIASA ZA KIPUUZI, KAMA KWELI ANAIPENDA NCHI ALIKUA WAPI???
 
Kua na Huruma,kumbuka kinachomtesa kule India ni ktk kutupigania sisi.
 
Mwakyembe na wenzake walikuwa na choice ya kubaki nje ya serikali kama waliamini misimamo yao ni nje ya serikali. Hii imekuwa ni nchi ya wanasiasa kila kukicha kutishia wanataka kuuawa na maadui wao.
 
mwakyembe na wenzake walikuwa na choice ya kubaki nje ya serikali kama waliamini misimamo yao ni nje ya serikali. Hii imekuwa ni nchi ya wanasiasa kila kukicha kutishia wanataka kuuawa na maadui wao.
kwa sasa nawaona kama tintin

kulalama hakuishi, toka basi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Ni kama mwanamke kutwa kulalama ndoa chungu, ukimwambia acha mumeo basi anatoa macho kama fundi saa
 
Si angesema sasa,taking into account anaweza kupona ama kutokupona? Akifa bila kusema ndo atakua ametusaidiaje sasa?
Alichonacho moyoni akiandike kama wosia na kama mungu atampenda zaidi akiwa huko basi usomwe kwa watanzania wote au awaite akina kubenea na wengine awaambie. sasa kama ana siri na anatishia kuitoa si ndio watammaliza kabisa!
 
Mbunge wa Kyela na Naibu waziri wa Miundombinu Dr Harrison Mwakyembe ametamka maneno magumu akiwa kwenye matibabu nchini India,Mwakyembe amesema akirudi salama atamwaga yote yanayomsibu bila kuficha hata nukta moja maana amechoka na hawezi kuvumilia tena...Akaendelea kusema Watanzania waendelee kumuombea maana anaendelea vyema na Allah akimsaidia akanyanyuka kitandani basi wategemee siri nzito ambayo haikuwai kufahamika Tanzania....

Hii imekuwa ni baada ya kuibuka kwa hoja nzito kuwa kuna Watanzania wanataka kuuwawa akiwemo Dr Harrison Mwakyembe,hoja yangu ngoja tusubiri tuone mambo yatakuwaje baada ya kufika,naamini Mungu mkubwa atamnyanyua toka kitandani.

Get well soon Dr Harrison Mwakyembe and Prof Mwandosya...

Source?
Mtu yeyote ambaye ni sehemu ya C.C.M au serikali ya C.C.M namuona ni tatizo tu.
 
another kuku journalism!!

alikua wapi siku zote

we dramatize hawa drama queens.............

naomba niseme kitu kimoja na mods this time msidiliti

WAPUMBAVU WOTE INCLUDING MWAKYEMBE.......... WANALETA SIASA ZA KIPUUZI, KAMA KWELI ANAIPENDA NCHI ALIKUA WAPI???

Hapo upo sawa MTM..
 
Mbunge wa Kyela na Naibu waziri wa Miundombinu Dr Harrison Mwakyembe ametamka maneno magumu akiwa kwenye matibabu nchini India,Mwakyembe amesema akirudi salama atamwaga yote yanayomsibu bila kuficha hata nukta moja maana amechoka na hawezi kuvumilia tena...Akaendelea kusema Watanzania waendelee kumuombea maana anaendelea vyema na Allah akimsaidia akanyanyuka kitandani basi wategemee siri nzito ambayo haikuwai kufahamika Tanzania....

Hii imekuwa ni baada ya kuibuka kwa hoja nzito kuwa kuna Watanzania wanataka kuuwawa akiwemo Dr Harrison Mwakyembe,hoja yangu ngoja tusubiri tuone mambo yatakuwaje baada ya kufika,naamini Mungu mkubwa atamnyanyua toka kitandani.

Get well soon Dr Harrison Mwakyembe and Prof Mwandosya...
Hizi ni hisia zako tu au ndiyo habari za kusadikika za GODWIN MZEE WA TETESI za Uongo

Please we need a source to verify the truth
 
Si angesema sasa,taking into account anaweza kupona ama kutokupona? Akifa bila kusema ndo atakua ametusaidiaje sasa?
Nachelea keshaona maji marefu na sasa anataka wamtengenezee kitanzi. Only83 mwambie asemee huko huko, otherwise hatutampa sifa ya ushujaa!
 
Mbunge wa Kyela na Naibu waziri wa Miundombinu Dr Harrison Mwakyembe ametamka maneno magumu akiwa kwenye matibabu nchini India,Mwakyembe amesema akirudi salama atamwaga yote yanayomsibu bila kuficha hata nukta moja maana amechoka na hawezi kuvumilia tena...Akaendelea kusema Watanzania waendelee kumuombea maana anaendelea vyema na Allah akimsaidia akanyanyuka kitandani basi wategemee siri nzito ambayo haikuwai kufahamika Tanzania....

Hii imekuwa ni baada ya kuibuka kwa hoja nzito kuwa kuna Watanzania wanataka kuuwawa akiwemo Dr Harrison Mwakyembe,hoja yangu ngoja tusubiri tuone mambo yatakuwaje baada ya kufika,naamini Mungu mkubwa atamnyanyua toka kitandani.

Get well soon Dr Harrison Mwakyembe and Prof Mwandosya...

Sina uhakika kama source ni Mwakyembe mwenyewe,inaoneka kama maneno ya kijiweni hivi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom