Dr. Mwakyembe: Nikirudi nitamwaga yote kwa watanzania nimechoka sasa....

Alichonacho moyoni akiandike kama wosia na kama mungu atampenda zaidi akiwa huko basi usomwe kwa watanzania wote au awaite akina kubenea na wengine awaambie. sasa kama ana siri na anatishia kuitoa si ndio watammaliza kabisa!

Nami hapa ndiyo napata tatizo! Mwakyembe anakuwa kama sio PhD holder tena wa sheria basi! Kama kweli
ana SIRI nzito anataka watanzania tuifahamu wether DEAD or ALIVE, kwanini basi asimuite mwanasheria wake
akaiandika hiyo SIRI, kwa kufanya hivyo atakuwa kwenye safe side . Mungu akimjalia akapona basi ataieleza yeye
mwenyewe, lakini kama Mungu atampenda zaidi na kumuita basi watanzania tutaifahamu hiyo SIRi nzito kupitia kwa
lawyer wake. Na kama kweli kulikuwa na mpango wa kumudhuru basi utaahirishwa kwani itafahamika the truth is now
out. Lakini kwa kuficha ndiyo anazidi kujichimbia kaburi kwani wabaya wake watamumaliza because the truth bado
anayo yeye Mwakyembe.

Mimi ninaona hizi ni siasa za maji taka. Baada ya kifo cha gorvenor Balali (kama ni kweli alikufa) Mke wake alisema kwamba
Balali aliandika wosia kuhusu wezi wote wa EPA na kwamba wakati ukifika mjane atausoma lakini hadi hii leo kimya.

kama kweli Dr. Mwakyembe ameyasema hayo (which I still doubting) atakuwa basi amepotoka, na hili ni own goal la pili,
la kwanza likiwa lile la Richmond ambalo alisema kwamba madudu mengine imebidi wayafiche ili kuiokoa serikali na mzimu
huo ndiyo unamtesa sasa huko Apollo India.
 
Huyu nafikiri hatakuwa na jipya zaidi ya tunazozijua juu ya magamba kujilimbikiza mahela na kujenga majumba ya kifahari kule wanakokujua,na jipya atakaloweza kuja kusema ni labda aje asema kodi ya Watanzani wazalendo zimechimbiwa wapi zaidi. Kwa ujumla hatakuwa na jipya zaidi ya sisiem na magamba yao.
 
another kuku journalism!!

alikua wapi siku zote

we dramatize hawa drama queens.............

naomba niseme kitu kimoja na mods this time msidiliti

WAPUMBAVU WOTE INCLUDING MWAKYEMBE.......... WANALETA SIASA ZA KIPUUZI, KAMA KWELI ANAIPENDA NCHI ALIKUA WAPI???

Usiseme hivyo mkubwa,kwani kwa kusema hivyo unamkatisha tamaa mgojwa,na hata kama kachelewa kufikisha taharifa siyo mbaya sana huenda itatusaidia kuliko angekaa kimya.
 
Hivi ni kweli Mwakyembe kasema hayo? Wote mnayotukana na kumtakia kifo hebu be careful yatawageukia wenyewe. Kifo kimepangwa kwa kila binadamu ni muda tu tunapishana. Tupeni data za uhakika kwamba amesema hivyo. Mtu anaumwa mnaanza kumsingizia maneno na kumtukana matusi.
 
Nadhani kikubwa sasa ni kumwombea Dr Mwakyembe pamoja prof ili Mungu awatie nguvu mpya na afya njema wawezi kujumuika pamoja nasi.
Kimsingi kuhusu watu kutishiwa kuuwawa sidhani kama tuhuma hizi ni za kubeza, kwani toka tuhuma hizi zitoke binafsi sijasikia vyombo husika kukanusha,na tunazidi kuwasikia wengine wakitoa tuhuma hizo za kutishwa. Lakini pia tukumbuke kuwa kumewahi tokea vifo huko nyuma ambavyo mazingira yake yaliacha utata mpaka leo hii ktk jamii.
Nadhani muhimu ni kupata ukweli juu ya mambo yanayo sumbua taifa hili,kama kuna ukweli hakusema na sasa ametambua haja ya kulekebisha kosa hilo, hili ni jema, ilimladi atueleze kweli yote. Kikubwa tunahitaji maendeleo kwa taifa hili,yatakayo jengwa ktk misingi ya uadilifu,haki,uwajibikaji, uzalendo. Yawezekana ikawa wapo wanachama wa ccm wanaotenda kama wapinza kwa mtazamo wa baadhi ya watu, kama wanabaki huko waliko au wanakuja upande wa pili ni swala la mtazamo kikubwa nadhani tunahitaji mabadiliko ktk mfumo wa taifa letu. Mabadiliko ya kweli ambayo yaweza kuletwa na watanzania wenye uzalendo wa kweli na taifa hili. Baada ya muda mrefu wa kuvuta subila na uvumilivu naona nafasi kubwa kwa wapinzani na haswa cdm kwa hali ya mambo inavyo elekea kwani ndiyo wanaonyesha kuwa na uzalendo na uchungu wa kuona taifa linapiga hatua kwa sasa. Kila kheri Dr na Prof twawaombea mpone haraka, Mungu ni mwema.
 
Yes, kumbe kuna magenius humu JF. Kweli kabisaaa.....

Katika kuugua, kuna mambo matatu: Kupona, kupata ulemavu wa kudumu au kufariki. Kwanza(kama kweli taafira hiyo ni ya ukweli)
ana hakika gani kama atapona, na kama anajua atarudi tena, kuna haraka gani ya kutoa kauli hiyo huko nje,kwanini asingetulia, then akifika ndio
a take action?

Au basi ni kwanini asingetoa full story ili likitokea la kutokea tuwe tumejua mpango mzima? Ni nani atakayemwamini tena endapo akirudi halafu asifanye chochote. Huyu mheshimiwa ameanza kusahau kuwa tayari yeye ni maarufu, na asipokuwa makini kwa kauli kama hizi, umaarufu wake utaporomoka fasta.

hata ukipor0m0ka hamna tatizo,kwan kwa sasa una tija 2 u?
 
Malipo ni hapahapa dunia km alimuonea aliyemfanyia hivyo bac atalipwa nae humu humu dunia, lakn kma alimuonea mnae mhisi kamfanyia, thus imekula kwa Dr mwakimbie anajiita mpinga ufisadi ingali yeye mfuasi wa chama fisad, hawezekani. Km kwel yeye mpinzani asi2mikie serikal corrupt km hii, mawazo 2.
 
Get well soon Mwakyembe..

Kama kuna matatizo ndani ya chama chako CCM si uhame kuliko kuendelea kulalamika kila kukicha
 
Aliongea hayo na Doctor wake au Mkewe au wewe ndiye mhudumu wake..?? maana twapenda uhakika wa maneno zaidi kuliko mafuta ya kupakwa kwa mgongo wa chupa.....
 
Wacha hata watoane macho. Miaka hamsini tangu uhuru wamekuwa wanachumia matumboni.Babu yangu anamwadithia mjukuu wake enzi zake alikuwa anakaa chini shuleni kwa sababu kulikuwa hakuna madawati ya kutosha,mjuu anamwambia wewe ulikuwa na afadhali mimi ninasomea kwenye kiwanja cha mpira. Upinzani kanyaga twende
 
another kuku journalism!!

alikua wapi siku zote

we dramatize hawa drama queens.............

naomba niseme kitu kimoja na mods this time msidiliti

WAPUMBAVU WOTE INCLUDING MWAKYEMBE.......... WANALETA SIASA ZA KIPUUZI, KAMA KWELI
ANAIPENDA NCHI ALIKUA WAPI???

Excellent, brilliant, intelligent, high IQ, high EQ, clever, genius, patriot, i'm happy 4 u, why Mwanyembe analeta habari nusu nusu? Why, @ this age & moment we all know the TRUTH, asitudanganye we do not possess kichwa cha kuku, he is not loyal to us, hypocrite, msomi yupo STRAIGHT FORWARD, mara oohh nitamwaga habari yote..... why asiseme? i hate him
 
Mwenzake E. N. L kaita waandishi wa habari, kaishia kujisifu yeye na flani hawakukutana barabarani (yaani ni rafiki wakaribu) wakati huo huo anasema hayajui mabaya ya rafiki yake.. (sina uhakika kama waweza kuwa na rafiki wa karibu usijue maovu yake)

Sijui sasa na yeye anataka kutuambia nini.

'Watanzania wanajua, na dunia inajua'
 
Mwakyembe na wenzake walikuwa na choice ya kubaki nje ya serikali kama waliamini misimamo yao ni nje ya serikali. Hii imekuwa ni nchi ya wanasiasa kila kukicha kutishia wanataka kuuawa na maadui wao.
Acha ubishi wa kitoto we lofa mashushushu aka tiss aka usalama wa ccm ni mbwa wanaoua kwa kutumwa na mabwana zao
 
The number one rule of politics in Tanzania.
"Never trust anyone belongs to CCM,trust less those outside CCM and never ever trust anyone"
 
Huyu mtoa mada katumwa nini ? Maana hapa sioni Logic Mwakembe hawezi kulopoka haya maneno aliyo yasema huyu jamaa, ili iweje ? Ma great thinker muwe mnafikilia maneno mengine watu wengine wametumwa humu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom