Dr. Mwakyembe: Nikirudi nitamwaga yote kwa watanzania nimechoka sasa....

Mbunge wa Kyela na Naibu waziri wa Miundombinu Dr Harrison Mwakyembe ametamka maneno magumu akiwa kwenye matibabu nchini India,Mwakyembe amesema akirudi salama atamwaga yote yanayomsibu bila kuficha hata nukta moja maana amechoka na hawezi kuvumilia tena...

Akaendelea kusema Watanzania waendelee kumuombea maana anaendelea vyema na Allah akimsaidia akanyanyuka kitandani basi wategemee siri nzito ambayo haikuwai kufahamika Tanzania....

Hii imekuwa ni baada ya kuibuka kwa hoja nzito kuwa kuna Watanzania wanataka kuuwawa akiwemo Dr Harrison Mwakyembe,hoja yangu ngoja tusubiri tuone mambo yatakuwaje baada ya kufika,naamini Mungu mkubwa atamnyanyua toka kitandani.

Get well soon Dr Harrison Mwakyembe and Prof Mwandosya...

Huyu hatarudi
 
[Kua na Huruma,kumbuka kinachomtesa kule India ni ktk kutupigania sisi] Hakuna anachotupigania Mwakyembe,kama aliweza kuficha uozo leo ndo aje aseme wakati imekula kwake? Inamaana kama asingeandamwa ili afe angekaa kimya,so uadilifu na uzalendo wa mwakyembe uko wapi? Mwakyembe ni wakala wa mafisadi,walimtumia na watamuua tu, Mimi nadhani ingekuwa vizuri angekaa kimya ili aje aseme wakati wanaotka kumtoa roho hawajua kwa hapa atafia huko huko India labda aite press huko huko.
 
wakati anayatamka haya alipaswa kusema yote kwa pamoja, anasubiri apone je asipopona? KITENDAWILI TEGA
 
Dr anaogopa kifo! Awe na moyo shupavu kama Muammar Gadafi,aache unafilki kwanini alificha ukweli kuhusu Richmond pale mjengoni??
wakikumaliza RIP.
 
Tunamuombea apone, na akirudi aache majungu. Kama kibaya/kichungu si unatema kwani lzm awe ccm au ndani ya serikali? kinachomfanya ang'ang'anie ni nini? atoke au apige kimya. kwa mwanasheria kama yeye, collective responsibility na maana yake anaijua na ameshafundisha watu kibao yeye anashindwa kuisimamia. mtu wa namna hii kamwe haaminiki. Hapo mi naona tatizo kubwa ni tumbo street tu. Anyway pona kama binadam wengine ila mijungu na rubuni naona kama hazisaidii. Usiwe vuguvugu kuwa moto au baridi, hata vitabu vitakatifu vinasema hivyo, who are you then, wa TZ siku hizi wamenunua ungo waneweza kupepeta na wakajua hizi ni pumba na huu ni mchele. enzi za media msahafu umepita watu kila statement utakayoitoa wanainarate why, how what, if nk.
 
ila na yeye anashangaza,anasubiri akaribie kufa ndio ataje wanaomuuwa?Itasaidia nini sasa?
 
huyo alieleta hii taarifa akatuletee na hayo ya moyoni mazito aliyonayo. haitoshi kusema ana mazito, kila m2 anamazito na yakiwa moyoni ni yako ila kama ni ya wtz moyoni mwako yanafanya nn?
 
huyo alieleta hii taarifa akatuletee na hayo ya moyoni mazito aliyonayo. haitoshi kusema ana mazito, kila m2 anamazito na yakiwa moyoni ni yako ila kama ni ya wtz moyoni mwako yanafanya nn?
 
...Usiisahau ile methali isemayo "IF YOU WANT TO SHOOT ...SHOOT, DON'T TALK!" courtesy of The Good, the Bad & the Ugly.

So kwa washauri wa Mheshimiwa, mwambieni asuburi atue Airport, halafu amwage yote. Period.
 
Mbunge wa Kyela na Naibu waziri wa Miundombinu Dr Harrison Mwakyembe ametamka maneno magumu akiwa kwenye matibabu nchini India,Mwakyembe amesema akirudi salama atamwaga yote yanayomsibu bila kuficha hata nukta moja maana amechoka na hawezi kuvumilia tena...

Akaendelea kusema Watanzania waendelee kumuombea maana anaendelea vyema na Allah akimsaidia akanyanyuka kitandani basi wategemee siri nzito ambayo haikuwai kufahamika Tanzania....

Hii imekuwa ni baada ya kuibuka kwa hoja nzito kuwa kuna Watanzania wanataka kuuwawa akiwemo Dr Harrison Mwakyembe,hoja yangu ngoja tusubiri tuone mambo yatakuwaje baada ya kufika,naamini Mungu mkubwa atamnyanyua toka kitandani.

Get well soon Dr Harrison Mwakyembe and Prof Mwandosya...
Majuto ni mjukuu Mwakyembe wana Kyela walikuambia huko unako enda siko ,lakini hukusikia na ukawaponda wana Kyela ambao walikusimamia kidete wakati wote ,ukawaasi na kwenda kufanya urafiki kwingine sasa unataka wana kyela wafanye nini .Tunakuombea urudi salama nyumbani na uje uwaangukie wana Kyela,pamoja na yote hatuwezi kukutupa ni mtu wetu kijana wetu .
 
Kwa nini asubiri apone? Kama ana nia nzuri aseme sasa na sio asubiri hadi apone. Huh ni unafiki tu. Sema sasa acha kuumauma maneno. Inawezekana ikawa ndo tiba yako. Kumbuka Balali naye alokuwa nayo moyoni akafa kabla hajayasema. Mchawi mpemwanao na ikibidi mwambe we mchawi hakugusi ng'o!
 
Mbunge wa Kyela na Naibu waziri wa Miundombinu Dr Harrison Mwakyembe ametamka maneno magumu akiwa kwenye matibabu nchini India,Mwakyembe amesema akirudi salama atamwaga yote yanayomsibu bila kuficha hata nukta moja maana amechoka na hawezi kuvumilia tena...

Akaendelea kusema Watanzania waendelee kumuombea maana anaendelea vyema na Allah akimsaidia akanyanyuka kitandani basi wategemee siri nzito ambayo haikuwai kufahamika Tanzania....

Hii imekuwa ni baada ya kuibuka kwa hoja nzito kuwa kuna Watanzania wanataka kuuwawa akiwemo Dr Harrison Mwakyembe,hoja yangu ngoja tusubiri tuone mambo yatakuwaje baada ya kufika,naamini Mungu mkubwa atamnyanyua toka kitandani.

Get well soon Dr Harrison Mwakyembe and Prof Mwandosya...

This is crap, never believe it. I have not heard such thing from a trusted source... it's a stupid rumor
 
Muacheni aseme muda apendao.
Mbona kichaa wa Monduli kaita waandishi na anapoulizwa anasema eti Richmond atasema muda apendao? Sijui aliita wajukuu zake!
 
[Kua na Huruma,kumbuka kinachomtesa kule India ni ktk kutupigania sisi] Hakuna anachotupigania Mwakyembe,kama aliweza kuficha uozo leo ndo aje aseme wakati imekula kwake? Inamaana kama asingeandamwa ili afe angekaa kimya,so uadilifu na uzalendo wa mw akyembe uko wapi? Mwakyembe ni wakala wa mafisadi,walimtumia na watamuua tu, Mimi nadhani ingekuwa vizuri an gekaa kimya ili aje aseme wakati wanaotka kumtoa roho hawajua kwa hapa atafia huko huko India labda aite press huko huko.
Wajua CCM wakikuona uko RADICAL kidogo,MKEREKETWA wa maslahi ya wananchi hasa wa chini, wanahisi kuwa huyu ni THREAT basi WANAKUVALISHA GAMBA.

Ndiyo yaliyotokea kwa Mwakyembe. Huwezi jua hata Mh Filikunjombe anaweza kuukwaa unaibu waziri kwa mtindo huohuo..
 
Back
Top Bottom