Dr. Mwakyembe na Dr. Slaa watishiwa kuuawa

Inawezekana ni kweli...kwa maelezo yake...halafu sidhani kama huku kwetu tuna maprofessional...


Tanzania kungekuwa na professionalism kwenye mambo yote tungekuwa mbali sana. Ukiangalia uzembe unaofanyika unabaki kushangaa na hapohapo tunajua kuna wataalamu wengi sana wapowapo tu bila kutumika kikamilifu kisa ni kwa vile hawajulikani wala kukubalika kwenye mitandao inayojalisha!

Sizungumzii hili la madai ya Dr Mwakyembe.
 
... hypothetically, hivi EL akiukwaa urais ni akina nani stand to benefit? Siamini katu kwamba the issue is the PRESIDENCY only. Furthermore, sio tu kufunika wanaharamu wapite. The bigger picture could be such a monster that once unleashed, the little of what is left of Tanzania will be history. Back to slavery!
 
why u people keep trusting mwanahalisi? what proof do u have that yenyewe haichakachui? how do u know this is genuine report and the one is not??

tuhuma zote wanazotoa turn out to be true,wangekuwa hawana uhakika na kazi yao wangekuwa wameshaozea jela,watuhumiwa wa ufiasdi wanowaanikawenesday in wenesday out wangekuwa wameshakana tuhuma lakini bado hawajafanya hivyo plus the president..u sound like a rival newspaper journalist..RAI or MTANZANIA,say it ain't so
 
Hivi hao wauaji wajinga hata watafute group lote hilo na milolongo yote hiyo? Au orodha ya hao wanaotaka kuuwawa imepatikanaje, na iweje iwe wazi hivyo? Hamna lolote hapa, usanii tu.
 
Gazeti la Mtanzania halina uhalali wa kutoa maoni yeyote katika suala hili kwakuwa mmojawapo wa watu wanaoshukiwa kupanga njama hizo ni mmiliki wa gazeti hilo. Pili katika maelezo aliyoyatoa Mwakyembe sioni mahali popote anapoonekana kuendekeza ushirikina; yeye ameeleza kile alichoambiwa kuwa kimetendeka kwa chombo chenye madaraka ya kuchunguza mambo hayo, mpaka hapo tatizo liko wapi? Upende husipende Mh Mwakyembe ameonyesha ukomavu mkubwa katika kushughulikia vitisho hivi.
 
Kuna wangapi humu wanamkumbuka Katibu mkuu wa CCM Mh. Marehemu Harace Kolimba? Kuna yeyote anayekumbuka kifo chake kilivyokuwa na utata na jinsi muhimbili walivyojichanganya na autopsy yake?? Ni sumu inayosadikika kupewa ilikuwa wapi kama si Dodoma??? Hivi kuhusu uchawi, hata ukiwa msomi unakuzuia kuelewa kama uchawi upo ama haupo?? Katika Biblia Uchawi umetajwa( Mnamkumbuka Simon Mchawi ktk kitabu cha Matendo ya mitume?).. Bila shaka hata kwenye kitabu cha kiislam pia umetajwa. Hao wanaosema asiamini uchawi na kama watu wameenda kwa mganga asiseme??? Mfano asiposema na akauliwa kweli nani atakuwa mzembe?? Kila rakheli.

Mkuu nafikiri umeungumza suala la msingi sana..... whether we like or not uchawi upo na wanobisha wanajua hilo na hakuna mambo ya usomi hapa. Isitoshe naanza kuingia mashaka Dawa ya Professor Majungu imeanza kufanya kazi kwa baadhi ya watanzani......!!
 
Kashaga,
Dr. Mwakyembe has proved to outrank Manumba's professionalism plus his platoon.
Info za kiupelelezi zimekusanywa vizuri mno tungekuwa na waandaaji wazuri wa sinema yaani hili ni bonge la movie.
Nyie mnabaki na vijiba vya roho.
 
Kashaga,
Dr. Mwakyembe has proved to outrank Manumba's professionalism plus his platoon.
Info za kiupelelezi zimekusanywa vizuri mno tungekuwa na waandaaji wazuri wa sinema yaani hili ni bonge la movie.
Nyie mnabaki na vijiba vya roho.

hakuna chochot hapo,wamuue yeye ana nini?? kuibua ishu ya ufisadi au? hana jipya yule anatafuta cheap popularity
 
Taarifa ambazo hazijapingwa mpaka sasa, kuwa magari ya Vodacom na Caspian ambazo ni kampuni za Rostam Aziz, yamehusika katika mpango wa kuwaua akina Dr. Slaa, Mwakyembe, Anna kilango, Membe na Mengi ina maanisha nini?
 
Tena kuna majina ya madereva na askari na viongozi wa ccm na serikali yake wanatajwa halafu IGP na DCI wanatoa majibu mepesi mno, kama kuna ukweli ktk tuhuma hizo inapaswa tukubaliane wazi kuwa URAIA wa TANZANIA ni wa matabaka na RA yupo ktk uraia wa daraja la kwanza ndio maana yeye ni untouchable
 
Ni mpango wa serikali ya awamu ya nne. STK,STJ,maaskari na viongozi wa serikali wakitajwa unategemea nini? Mh.6,slaa,kilango,mwakyembe angalieni sana,tuna serikali yenye al shabaab. Jiadhari na ujasusi huu! Kushitaki kwa IGP ni kama kupoteza muda,hao hao ndo wauaji. Yu wapi Prof.Chachage?!
 
Nchi sass inaendeshwa kigaidi na sisi wananchi tunakubali kuendelea kupumbazwa kuwa serikali hii iko kwa ajili ya wananchi. Lakini wasichokijua huko serikali hasa hawa viongozi nikuwa wanaweka bomu uvunguni mwa vitanda vyao na mlipuko wake utawasambaratisha wao kwanza
 
Ndugu Watanzania tusipende kuzarau mambo haya mambo yapo na kama hayapo basi yatakuja.so kuhusu hili la DR Mwakyembe ni la kuangaliwa sana isije tokea kesho then tukasema oooh tungejua,so tuepuke mambo ya zarau hawa Mafisadi sio watu ni kama wanyama au hata saa nyingine nasema better animals so lazima tuwe macho na tuache ushabiki wa kijinga
 
Dr Mwakyembe has the reasons to fear.

Hawa jamaa ni proffesional killers kweli na ndio maana wanaonekana wanasuka mpango ili kuweza kutengeneza kifo cha Mwakyembe na kama hiyo haitoshi wanawatumia na wachawi ili waweze kuwafanya watanzania wasiandamane au kulalamika au kuhoji kifo hicho tarajiwa.

Jiulize hao wasomali ni kina nani mpaka watumie magali ya serikali je na lile gari la Caspian linahusika vipi? tusimlaumu na ndio maana kapeleka malalamiko yake kwa Mwema ili yeye aendelee kufanya kazi bila uoga na ikumbukwe kuna orodha ndefu ya those who are suppose to be dead ambao Mwakyembe kawataarifu.
.

Proffesional killers wangetumia gari za wizara? shame
 
Dr Mwakyembe has the reasons to fear.

Hawa jamaa ni proffesional killers kweli na ndio maana wanaonekana wanasuka mpango ili kuweza kutengeneza kifo cha Mwakyembe na kama hiyo haitoshi wanawatumia na wachawi ili waweze kuwafanya watanzania wasiandamane au kulalamika au kuhoji kifo hicho tarajiwa.

Jiulize hao wasomali ni kina nani mpaka watumie magali ya serikali je na lile gari la Caspian linahusika vipi? tusimlaumu na ndio maana kapeleka malalamiko yake kwa Mwema ili yeye aendelee kufanya kazi bila uoga na ikumbukwe kuna orodha ndefu ya those who are suppose to be dead ambao Mwakyembe kawataarifu.

diehard: kwa hiyo unamuunga mkono dr harison mwakyembe kuwa wataalam wa mauaji toka alshabaab wameletwa nchini ili kumuua yeye?! Wakisaidiwa na jeshi la polisi?!, wakisaidiwa na wizara yake?!, wakisaidiwa na kampuni kubwa ya ujenzi hapa nchini?!, wakisaidiwa na karani wa bunge?!, wakisaidiwa na mchawi maarufu wa hiko songea?!. Brigade yote hiyi kwa ajiri ya mwakyembe na bado hawajaweza kutekeleza?, na yeye ameweza kupata taarifa za ndani kabisa ya mpango huo kwa 100%.............. Hii ni CRAP.,na kama kweli mwakyembe ametoa taarifa hizi basi tumpeleke mirembe haraka sana. BTW anamtafutia ujiko Slaa.
 
Ila mimi kinachoniuma zaidi ni kwa kiasi gani Bwana mkubwa atakapotuachia hii nchi itakavyokuwa. ni kwamba jamaa akitoka madarakani atakuwa ametuachia mpaka na chembe za uasi katika nchi hii. Kama leo unaenda kuwakodi al shaab, kesho unafikiria jinsi ya kukodi watu toka Twanda au Burundi... banyamulenge nk... hii inaashiria kuwa hata akiondoka atakuwa ameacha watu ambao ni rahisi kuanzisha makundi ya uasi.
Ila kikwete anatuaribia mambo ambayo TUTAJUUUUTA hapo baadaye
 
Back
Top Bottom