Waislamu na wakristo wasaidiane katika mambo mengine lakini sio kuombeana dua. Akasema Masheikh wafungue vituo vya dua vyao kuwasaidia wenye matatizo ili wasikimbilie kwa Mwamposa kwasababu haifai na siyo sawa kwa Mkristo kumuombea dua Muislam.
Kwa hio kwenye zile hafra kubwa za kiserikali mashekhe hua wanaombea nchi ambayo ndani ya nchi kuna wakristu (ambao wamesema wasiwaombee) na mapadri/wachungaji wanaombea nchi ambayo ndani ya nchi kuna waislam (ambao anasema sio sawa kuombewa na wakristu), kwa hio mashekhe hua wanafanya unafki wanawaombea waislamu tu pale kwenye zile hafra za kiserikali hawataki kuombea wakristu au kuna kuwaga na nini kinatokea?
 
Mbona hata sioni sababu ya Dr. Mwaka kuongea yote hayo maana Sheikh Alhaj alichoongea kingebaki kama mtazamo wake tu sasa hayo ya kulawiti yanatoka wapi au Dr. Mwaka alienda kwa Mwamposa?
Kwa hio unamaanisha Daktari Mwaka angepiga kimya tu awe mnafki mnafki au unamaanisha nini?
 
Mzee mbona umeshindwa kuelewa vitu vidogo tu? Jamaa kasema kuwa Dr. Mwaka vs Kigwa ilikuwa kipindi kile sasahivi huyo mwaka kaanzisha vita nyingine na mtu mwingine
Msamehee bure Mzee! Labda kipindi Cha lile beef la Dr Mwaka na Dr Kigwa Mwana alikua hajapata smart phone, ndiyo maana hajui!!!
 
Hayo ni maamuzi ya mtu km alale na mmoja au alale na wote maana wote ni wake zake usimpangie jinsi ya kuwahudumia kindoa au kwa maana ya ndani usimpangie jinsi ya kuwatomba ushaelewa..
Maswali ya kidini yajibiwe kitaalamu na watu wenye kuijua dini,

Huyo Juma Mwaka anadai yeye ni Muislam, sasa kwa mujibu wa dni hiyo ni MAKOSA kulala kitanda kimoja na wake wawili

Sasa muwe mnajibu kwa kupitia dini ikiwa maswali ni ya kidini na sio MTAZAMO wa mtu binafsi
Umesoma na kuelewa au nirudie tena?

Sent from my HUAWEI RIO-L01 using JamiiForums mobile app
 
Huyo Juma Mwaka anadai yeye ni Muislam, sasa kwa mujibu wa dni hiyo ni MAKOSA kulala kitanda kimoja na wake wawili
Makosa yako wapi wewe ndie umemuolea yeye hao wake zake si kawaoa mwenyewe yaan hadi jinsi ya kuishi na wake zake pia umpangie?
 
Kwa hiyo si sawa, kwa mfano makanisani huwa kuna maombi ya kuliombea taifa na hususani kumuombea rais wa nchi sasa ina maana maombi hayo yanayofanyika makanisani kumuombea rais muislam ni batili na kamwe Mungu hayasikii??!!
Hapo sasa. Hili swali alione/alijibu ustaadhi Alhad
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom