404 Pages
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 1,703
- 2,944
Ndio tena inaonekana ni mwislamu anaejitambua sio mnafki anakuchana km inavyotakiwa kukuchana..
Ndio tena inaonekana ni mwislamu anaejitambua sio mnafki anakuchana km inavyotakiwa kukuchana..
Ukiwa kiongozi wa dini halafu ukakemea maovu kwa mujibu wa dini unakuwa umeingilia faragha za watu?Hii vita kubwa lkn yule sheikh kwa nn aingilie faragha za watu ona sasa anadhalilika
Watu wanajua kutunga wewe video huzioni au?Dokta mwaka ndo yule mtoto wa mjini anayeshindaga ubungo plaza....sema jamaa amepoteza umaarufu muachen atafute kiki anatumiwa ili tupoteze mda tusahau makali ya tozo
Kwa hio wewe unaelewa maana ya faragha Kwanza? Sio unabwatuka tu hapaUkiwa kiongozi wa dini halafu ukakemea maovu kwa mujibu wa dini unakuwa umeingilia faragha za watu?
Kwa hio kwenye zile hafra kubwa za kiserikali mashekhe hua wanaombea nchi ambayo ndani ya nchi kuna wakristu (ambao wamesema wasiwaombee) na mapadri/wachungaji wanaombea nchi ambayo ndani ya nchi kuna waislam (ambao anasema sio sawa kuombewa na wakristu), kwa hio mashekhe hua wanafanya unafki wanawaombea waislamu tu pale kwenye zile hafra za kiserikali hawataki kuombea wakristu au kuna kuwaga na nini kinatokea?Waislamu na wakristo wasaidiane katika mambo mengine lakini sio kuombeana dua. Akasema Masheikh wafungue vituo vya dua vyao kuwasaidia wenye matatizo ili wasikimbilie kwa Mwamposa kwasababu haifai na siyo sawa kwa Mkristo kumuombea dua Muislam.
Kwahyo nyie waislam kuua ni easy tu ..duh..Ana bahati kazaliwa kwa wengi wasiokuwa na dini Bali washirikina
Angeenda kwa watoto wa baba Somalia tu hapo
Mbona zamani angekuwa na Jina tofauti tena wangemuulia msikitini
Na wewe mpumbavu vile vile..wakijaga wale jamaa wa vita za vifungu vya kidini ndio balaa, hizi nyuzi huwa hazichoshi kusoma, unaona jinsi wapumbavu wanavyopigania upumbavu
Wewe umejuaje? Umewahi kutukanwa?Wafuasi wa Mwamedi mu hodari kwa matusi
Mbon uzi unaeleweka tu na wewe sijui ulikua unaandika uko bar khaa..Uzi umeuandika ki kikekike Sana. Maneno na michambo yako imekaa ki kikekike sana.
Faragha ni muhimu zisiingiliwe kabisa..Hii vita kubwa lkn yule sheikh kwa nn aingilie faragha za watu ona sasa anadhalilika
Ukishavaa njooNgoja nivae kobazi kwanza ndio nije
Hayo ni maamuzi ya mtu km alale na mmoja au alale na wote maana wote ni wake zake usimpangie jinsi ya kuwahudumia kindoa au kwa maana ya ndani usimpangie jinsi ya kuwatomba ushaelewa..Hivi kitendo cha kulala na wake zako wote si mnakuwa kwenye Orgy, au wakiwa wake zako inakuwa tofauti?
Unasema alichoongea sheikh ni mtazamo wake. Je, alichoongea Dr. Mwaka ni mtazamo wa nani?Mbona hata sioni sababu ya Dr. Mwaka kuongea yote hayo maana Sheikh Alhaj alichoongea kingebaki kama mtazamo wake tu sasa hayo ya kulawiti yanatoka wapi au Dr. Mwaka alienda kwa Mwamposa?
Kwa hio unamaanisha Daktari Mwaka angepiga kimya tu awe mnafki mnafki au unamaanisha nini?Mbona hata sioni sababu ya Dr. Mwaka kuongea yote hayo maana Sheikh Alhaj alichoongea kingebaki kama mtazamo wake tu sasa hayo ya kulawiti yanatoka wapi au Dr. Mwaka alienda kwa Mwamposa?
Msamehee bure Mzee! Labda kipindi Cha lile beef la Dr Mwaka na Dr Kigwa Mwana alikua hajapata smart phone, ndiyo maana hajui!!!Mzee mbona umeshindwa kuelewa vitu vidogo tu? Jamaa kasema kuwa Dr. Mwaka vs Kigwa ilikuwa kipindi kile sasahivi huyo mwaka kaanzisha vita nyingine na mtu mwingine
Maswali ya kidini yajibiwe kitaalamu na watu wenye kuijua dini,Hayo ni maamuzi ya mtu km alale na mmoja au alale na wote maana wote ni wake zake usimpangie jinsi ya kuwahudumia kindoa au kwa maana ya ndani usimpangie jinsi ya kuwatomba ushaelewa..
Wewe ulikua nazo ngap? Alafu watu kujifanya kujua nyinyiMsamehee bure Mzee! Labda kipindi Cha lile beef la Dr Mwaka na Dr Kigwa Mwana alikua hajapata smart phone, ndiyo maana hajui!!!
Makosa yako wapi wewe ndie umemuolea yeye hao wake zake si kawaoa mwenyewe yaan hadi jinsi ya kuishi na wake zake pia umpangie?Huyo Juma Mwaka anadai yeye ni Muislam, sasa kwa mujibu wa dni hiyo ni MAKOSA kulala kitanda kimoja na wake wawili
Hapo sasa. Hili swali alione/alijibu ustaadhi AlhadKwa hiyo si sawa, kwa mfano makanisani huwa kuna maombi ya kuliombea taifa na hususani kumuombea rais wa nchi sasa ina maana maombi hayo yanayofanyika makanisani kumuombea rais muislam ni batili na kamwe Mungu hayasikii??!!
Kijana unataka battle huoni kama anapotosha!! Kwa nn unasapot ujinga?Wafuasi wa Mwamedi mu hodari kwa matusi