Dr. Kafumu (CCM) avuliwa ubunge Igunga!

Ni kiburi tu cha sisiem tngu mwanzo. Igunga walishindwa kihalali wakaiba kura na kwakutumia dola lakini watu wameamka na wanajua haki zao. Sisiem nilazima waamke usingizini wajue wananchi sasa wanaelewa. Tusubiri uchanguzi mdogo tuwaonyeshe ukweli na hatimaye 2015. PEOPLE`S POWER.
 
Namimi nimepata taarifa kutoka ITV katika habari za saa. Kuna muda ilirushwa ITV kama breaking news, Nape alipohojiwa kwa simu akakata simu.
 
1. ccm kumwagia mwenzao tindikali huku wakisema pipoz power (ili ionekane ni CDM)
2. ccm kuchoma nyumba ya kada mwenzao na kuua zaidi ya kuku 10 na kuacha kimemo " sisi CDM tumechoma nyumba hii"
3.Kuvuliwa kilemba/ kupigwa na makamanda mkuu wa wilaya kwa kufanya kampen kinyemela
4. Mikutano kujaa masinia ya ubwabwa na maharage
 
kafumu inaonekana kila kitu alikua analazimishwa na ccm,hivyo kushindwa kwake kesi ni kama ametua mzigo aliobebeshwa.!
 
Wana JF habari zilizonukuriwa toka RFA mchana huu. Aliyekuwa mgombea ubunge wa uchaguzi mdogo wa jimbo la Igunga kupitia CHADEMA ameshinda kesi ya kupinga matokeo yaliyompa ushindi mgombea wa CCM (wana magamba); kati ya hoja 15 zilizowasilishwa na mlalamikaji kupitia wakili wake Prof. Safari kupinga ushindi wa Dr. Mafumu. hoja tano zimekubaliwa na mahakama pasiposhaka na hivyo mahakama kuu kanda ya Tabora imetengua ushindi wa Dr. Kafumu. Peoples Power!
 
Sasa hata mahakama zimewachoka hawa magamba.Wanabebwa na sasa hawabebeki tena.

Kila chenye mwanzo kina mwisho.

Hata mahakama zinaona uovu wao na zinaundwa na watanzania wale wale ambao hata ndugu zao nao wanateseka kutokana na utawala huu mbovu.
 
Mkuu wa wilaya kuvuliwa hijabu! Na Bakwata kuwatangazia umma wasiichague chadema! Ni mambo ya ajabu ajabu mengi mno!
 
Yote kwa yote Mwenyezi Mungu amebaki na watu wake akamkabidhi Mussa Fimbo kuwavusha wana wa Israel kutoka nchi ya Misri ndiyo yaliyotokea Igunga shida ya wananchi wa huko Wtz wenzetu mungu anawaonyesha njia kuelekea Ikulu 2015 safari ndiyo inaanza.
 
Inasemekana our beloved DR.Dalali wa Kafumu kavuliwa ubunge so sad kwa DR try again latter.
 
Back
Top Bottom