Dr. Kafumu (CCM) avuliwa ubunge Igunga!

3.JPG


Furaha iliyodumu kwa kipindi kifupi sana. Kwisha kazi.
Hii sheria yetu feki sana. Baada ya kesi kuisha haya makosa yaliyosababisha matokeo yafutwe ilibidi yageuke kuwa ushahidi tosha kwenye kesi ya jinai ili iwe funzo kuliko nyimbo hizi hizi.
 
Wawawaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa..........h
Ninafurahaaaaaaaaaaa
Pipoziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

Mtafute PakaJimmy kuna mzigo wako nimempa...........ujazilize hiyo furaha yako.

Pipoziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii................yaani kama namuona Mwigulu na yale mashavu yake mabaya alivyotahayari lol!..........Magufuli nae ziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii........Nape aibuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu.

Nina kila sababu ya kupata Konyagi leo! Remmy, tafadhali sn leo nitakuwa pale YENU BAR kuanzia saa 2.30 za usiku, nikukabidhi kabisa haya mananihii aisee!, usikose. sweetlady, nyie huko Arusha mnisubiri tu, nina zawadi zenu wote, najua lile kinywaji lako unalotumia ambalo lina Historia ya kumsababishia mtu fulani Brain Concussion!
 
Last edited by a moderator:
ila mie bado ninamaswali sana kuhusu magufuli!!!na taarabu zote alizimba wakati wa uchaguzi,imekuwaje hajaenda kutoa ushahidi??????

poor kafumu,
i pity you!
sasa inakuwaje,watakuajili tena au???dah,kweli maisha haya.lakini be happy hata umeweza kuwa mbunge japo kwa siku chache!!!!
 
hoja nyingine ni mgao wa mahindi wkt wa kampeni..madai yaliyokua yakitolewa kwamba kulikua na njaa sana igunga hd zoezi hilo kufanyika hayakua ya msingi, swali lilikua kwamba kama kulikua na njaa kiasi hicho kwa nini uchaguzi haukurishwa?
 
Wabongo bana ona walivyojaa hapa, na kwenye kupiga kura mngekuwa mna juhudi hizi ingekuwa powa sana.

There are currently 1886 users browsing this thread. (436 members and 1450 guests)
wewe ulisha wahi pinga kura? au unatia aibu hapa jamvini
 
Lile daraja la kujengwac kwa siku 30 baada ya kushinda limebomoka tena au? Hahahahaaaaaaaaa hata gunia la mchanga nani kaona?
 
hoja nyingine ni mgao wa mahindi wkt wa kampeni..madai yaliyokua yakitolewa kwamba kulikua na njaa sana igunga hd zoezi hilo kufanyika hayakua ya msingi, swali lilikua kwamba kama kulikua na njaa kiasi hicho kwa nini uchaguzi haukurishwa?

Hii hoja si ni moja wapo ya Rushwa? Basi CCM wasiruhusiwe kushiriki uchaguzi kwa miaka 5 kwa kosa la kutoa rushwa.
Tanzania inawezekana bila CCM
 
Wale walio karibu na Kichaa Lusinde, msaani wa rap za matusi, amkumbushe kunywa sumu aliyoahidi ikiwa CDM ingeshinda Igunga
 
Hongereni CHADEMA.Lakini najua kafumu atakata rufaa.Maamuzi ya rufaa yatafanywa kufikia Septemba mwakani.Kashindye ataingia 2014 bungeni nadhani baada ya uchaguzi mwingine.Hii itakuwa ni challenge kubwa kwa CDM kuweza ku deliver ndani ya muda huo mfupi kufikia 2015.
 
naona watu kibao wamejaa kwenye huu uzi...

There are currently 2366 users browsing this thread. (516 members and 1850 guests)
 
Weraaaaaaaaaaaaaaaaa weraaaaa CDM!!!
Hili liwe fundisho kwa majizi mengine
 
Yale mavifaaa aliyomwaga Kafumu pale hospitali ya wilaya sijui itakuweje............na yae masemina aliyowafanyia wachimabaji wadogo-wadogo pale ukumbi wa halmashauri huchelewi kusikia ''nirudishieni knowlegde niliyowapa plz''
 
Back
Top Bottom