Rostam Aziz: Lowassa hakuwa rafiki bali ni ndugu yangu tumeishi Nyumba moja kwa miaka 15, anapenda Maendeleo!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,978
141,995
Aliyekuwa Mtunza Hazina wa CCM na mbunge wa Igunga Bilionea Rostam Aziz amesema Lowassa alikuwa ni ndugu yake na wameishi Nyumba moja kwa miaka 15

Rostam amesema Lowassa hakuondoka CCM kwa tofauti za kiitikadi bali alitaka Katiba ya CCM iheshimiwe

Source: Mwanahalisi Digital
 
Rostam amefika msibani na machozi yamemtoka
20240216_160245.jpg
20240216_160254.jpg



Rostam ni rafiki wa kweli, hakumuacha Ed kwenye matatizo
 
Back
Top Bottom