Dr. Kafumu (CCM) avuliwa ubunge Igunga!

Bora uchaguzi urudiwe tena igunga tule wali tena kama tulivyokula kipindi kile chaufunguzi wa kampeni za ccm chini ya ben mkapa,mwenye ile picha ya masahani ya wali aweke hapa tujikumbushie
 
Vip na hapo jamaa na bunduki hakimu hajasema kitu?

images
 
images

aisee cheki domo na mchumi daraja la kwanza! na bado mwaka huu...
 
There are currently 2293 users browsing this thread. (496 members and 1797 guests)

Nahisi hii ni REKODI
 
wana ccm walivyo mazoba na majinga yatampokea kwa shangwe akirudi igunga. sasa na nafasi aliishaiachia serikalini itabidi awe mwenyekiti wa serikali ya mtaa
 
Hongereni CHADEMA.Lakini najua kafumu atakata rufaa.Maamuzi ya rufaa yatafanywa kufikia Septemba mwakani.Kashindye ataingia 2014 bungeni nadhani baada ya uchaguzi mwingine.Hii itakuwa ni challenge kubwa kwa CDM kuweza ku deliver ndani ya muda huo mfupi kufikia 2015.

nakubaliana ww kwa kiasi fulani ...lakn kumbuka kutakuwepo faida moja kubwa kama CDM ikishinda uchaguzi huo...ushindi huo utakuwa ujumbe mhm kwa ccm na wananchi kwamba ushindi wa taifa zima unakaribia..kumbuka utakuwa umebaki mwk mmoja kufanya uchaguzi mkuu...kwa hyo kishindo cha ushindi kitakuwa bado kinazizima vichwani na mioyoni mwa watanzania
 
Ninasikia tetesi kuwa Mbunge wa Igunga Dk. Kafumu kapigwa chini,

je tetesi hizi ni za kweli? mwenye taarifa tafadhali!
 
CCM na CHADEMA jifunzeni jambo moja muhimu: Msiwaachie baadhi ya watu wenu kumiliki MAJIMBO. Wakiondoka, wakiondolewa, wakifa,..., mnapata tabu sana kubaki na majimbo haya. KInachotokea hapa Igunga ni athari za moja kwa moja za kumwachia Rostam Aziz akawa mmiliki wa Jimbo hili. Msisubiri KATIBA ya NCHI iwawekee ukomo wa wagombea wenu kwenye majimbo haya. Katiba za vyama vyenu zinaweza kulimudu hili.
kuna watu ni wabunge tangu mimi sijazaliwa, mpaka sasa wao tuuuuuuuuuuuuuuuuuu. kwani hakuna wengine? Jimbo nililotoka mimi karibu kila uchaguzi anatoka mbunge mwingine ingawa ni wa chama hicho hicho
 
Hivi yale mabunduki yao wanayoyaonesha kishamba hadharani yamewasaidia nini?.....kweli ccm na viongozi wake wamechoka kufikiri! Yaani bunduki inapiga kampeni? Nadhani wakitusikia wenzetu watatuona majuha kabisa
 
Nape yuko wapi wajameni???

Nafikiri atakuwa na mwendo kasi kama kuku akitafuta mahali pa kutagia!!!! Kwanza ajipange kujibu zile hoja za upande mwingine za EL jana 45 minutes na za leo!!! Tumbo limembana ghafla!!
 
Haki ni muhimu kutendeka ili kuepusha matatizo ambayo yangeleta usama ndani ya taifa kwa halaka kabisa nawaomba kutambua msingi na sheria za uchaguzi zifwate msitumie majukwaa kuwadanganja wananchii ili mpate kula kinyume na sheria ni vyema sasa kuondoa makosa yanayo fanywa na vyama vya siasa igunga uchaguzi haukua wa haki hata kidogo serikali kupitia mahakama imetekeleza wajibu wake kisheria.
 
Mimi ninachojua bado mahakama hazipo huru, kuna uwezekano kabisa hapa kafumu hajatendewa haki ila ikulu wameagiza apigwe chini ili kupunguza kelele za wapinzani

"Natamani sana siku moja nionane na Ramadhan Ighondu gizani na pasipo na mpita njia yeyote"

nimeipenda hii signature, najua kitakachompata ni siri yenu nyie wawili (kama atakua hai)
 
Hii ni taarifa niliyoiona ITV mda huu, taarifa kamili zitapatikana mda si mrefu. Nathubutu kusema kua mahakama imefanya jambo la kishujaa sana, sikutegemea kama ingeweza kuwakatili hawa magamba maana mara nyingi wao ndio wamekua juu ya sheria.
 
Back
Top Bottom