Dr. Kafumu (CCM) avuliwa ubunge Igunga!

Mahakama yao, polisi wao, mbunge wao, ngoja tuone!
By far we can see mizani imeegemea upande wa kafumu, atatangazwa mshindi!
 
Mkuu Deus F Mallya, niwie radhi kamanda wangu, mi nilikuwa najua ni kajamaa tu kumbe daah ni great thinker wa chama kubwa........pamoja sana mtu wangu wa nguvu.
 
mmesha anza kutuchanganyia madesa hapa,hapa ni Kashinje Vs
Kafumu,na si mallya yupo thread nyingine.leteni vitu kutoka mahakamani.
 
Swali la msingi kujua:Tupatiwe jina la jaji na Je! huyo Jaji kafanyiwa vetting? anyway yumo kwenye list ya TL?
 
Kama mahakama ni chombo huru kama inavyodaiwa,basi ni dhahiri shahiri CDM wataibuka washindi!!!!!
 
Leo ni leo. Ushindi wa Kashindye kupigwa tena mnada na Dalali? Watu wameshajaa Mahakamani tangu saa 12 asubuhi. Hukumu kuanza kusomwa saa 3 hii. Ni CHADEMA na CCM...
 
Kama mahakama ni chombo huru kama inavyodaiwa,basi ni dhahiri shahiri CDM wataibuka washindi!!!!!

kinachotakiwa ni haki kutendeka. Majaji wengi wangependa kutumia taaluma zao kufanya kazi ila simu ikipigwa kutoka magogoni inawachanganya sana ukizingatia TZ hakuna kazi mbadala
 
Ushindi kwa CDM hali 'jaji' anayeiendesha pengine yuko kwenye 'list' ya TL!

Kwa kweli inaleta shaka sana, sijui itakuwaje
Lakini kama Jaji atakuwa sio wa vodafasta na yeye anaona Vodafasta jaji wanaharibu taaluma sijui itakuwaje pia atamrizisha dhaifu ama atafamfanya dhaifu zaidi??
 
NIMEIPENDA HIi

Nishaanza kushangi. . . . .
Oya oya oya! . . . . .oya oya oya!

Hana pa kutokea, anafumuliwa, nafasi yake wizarani kwisha jazwa, ndo maana uwaziri aliusikia kwenye vyombo vya habari i.e TBCCCM,

Oya oya oya! . . . . . .
 
Swali la msingi kujua:Tupatiwe jina la jaji na Je! huyo Jaji kafanyiwa vetting? anyway yumo kwenye list ya TL?

Akiwa anasomeka kwenye list ya TL atataka kuwaonyesha watanzania uadilifu wake wa kuchonga, ndipo tutakapoibuka kidedea,

oya oya oya!. . . .
 
Wakati tunaendelea kusubiri updates za hukumu,
tafadhari tunaomba kujulishwa juu ya yafuatayo kwa mwenye taarifa:
1/Mwenendo wa kesi ulikuwaje(Hoja,mjadala,mashahidi,vitimbi)

2/Jaji wa kesi hii ni nani(Jina,Weredi,historia ya hukumu zake)

3/Tetesi za hukumu hii zinasemaje.

4/Matumaini na hamasa kutoka kila upande zikoje
 
Back
Top Bottom