Download free(chukua bure)...mtumie na mwingine.

Download huu wimbo na mpatie mwingine na mwingine...

Mkuu Icon, uko juu! Tafadhali fanya hivyo kwa nyimbo zingine za kina Lucky Dube, Orch. Lipua Lipua, Tabora Jazz, Less Wanyika, Pepe Kale Ya Mpanya, Aulus Mabele, Kina Rose Muhando, nk, nk. Mdau mwingine yeyote angechangamsha jukwaa kwa kuendeleza libeneke aliloanzisha Icon. Mtabarikiwa sana hata msielewe ni kwa nini. Big Up again.
 
aksante sana...
 
Back
Top Bottom