DOWANS vs TANESCO - Why TANESCO Lost?

Mkuu Invisible,

Asante for this.. Tungepata the missng part pia ingekuwa vizuri kuweza kuja na hoja sahihi..

Thanks once again
 
Nimeisoma doc hii huku moyo ukidunda sana, baada ya kuisoma nimetafuta gazeti lenye picha ya Rostam nikalichoma moto hasira zipungue!

Why this persian doing this to us, when I'll see him face to face one day I'll explode myself for sake of my country and my kids! When he 'll stop sucking our blood and our resources?

We want new constituition and super hero president to fix him to jail!
 
Nimeisoma doc hii huku moyo ukidunda sana, baada ya kuisoma nimetafuta gazeti lenye picha ya Rostam nikalichoma moto hasira zipungue!

Why this persian doing this to us, when I'll see him face to face one day I'll explode myself for sake of my country and my kids! When he 'll stop sucking our blood and our resources?

We want new constituition and super hero president to fix him to jail!

Anko Sam...... RA is the most fearful heist Kingpin in Tanzanian History...... i can not reveal any other person since independence who have swindled everything including electricity
 
Naomba clarification hapa.... DOWANS head office ni Costa Rica..... Concern yangu ni... Je, establishment ya DOWANS hapa TZ ilikuwa under Company Ordinance (CAP 212) au DOWANS waliingia kama Offshore company....?
Kama sijakosea ..page 30...imezungumzia kwamba hata hiyo DOWANS Holdings huko Costa Rica haitambuliki sasa sijui 'wakuu wetu' waliitambua vipi?

*what goes around comes around :)
 
HAPPY NEW YEAR INVISIBLE.
Ngoja nizame prepo na hii nondo ntakuja badae na majibu.
 
Anko Sam...... RA is the most fearful heist Kingpin in Tanzanian History...... i can not reveal any other person since independence who have swindled everything including electricity

Nikitazama picha za watoto darasani wamekaa chini kwenye mavumbi, na assume RA amechangia hali hiyo, nikisikia kilio cha akina mama wanajifungulia sakafuni mahospitalini, na jua ni RA kala hela, nikisikia watu wamezama kwenye mtumbwi kwa kukosa kivuko cha maana, nakumbuka Richmond, umeme umekuwa ni janga la kitaifa, tunaishi bila kuwa na uhakika wa nishati hiyo muhimu ktk karne hii, najua ni yeye anataka kufanya ufisadi tena, nikiiangalia Benk Kuu nakumbuka KAGODA!

Nikimuangalia Kikwete naona kivuli cha RA kiko nyuma yake! Let me cry a little!

Kuna jingine nalo limekung'uta vumbi kwenye "visent" vyake likailipa mahakama! Nchi hii!
 
mkuu .. nimegee hao iliyowataja...

Gazeti linasema hivi,

Kwa mujibu wa BRELA, kampuni hiyo la DOWANS ina wabia 2 ambao ni Dowans Holding S.A ambaye ana hisa 81% ya Class A na Porket System and Equipment PTE Ltd ambaye ana 51% kwa maana ya Class A ana 19% na B ana 35%

Kwenye hizo asilimia sina hakika kama ni sahihi ila nimechukua kama ilivyo kwenye gazeti.

Pia gazeti linasema hivi,

Wakurugenzi wa wa Dowans......ni Brigedia Jenerali Sulaiman Mohamed Yahya Al Adawi ambaye ni raia wa Oman, Guy Arthur Pircard raia wa Canada, Stanley Munai raia wa Kenya. Wengine ni Adnrew James raia wa Canada, Gopala Krishnan Balachandran kutoka India na Hon Sun Woo kutoka Singapore
 
5. Mwisho kuna ambao wanasema kwamba ni lazima tulipe...mimi siwaelewi: Hivi Thamani ya Tanesco kwa sasa yaweza fikia hizo au kuzidi Bil 185? kama jibu ndio basi tulipe na kama jibu si ndio, cha kufanya ni kuji-declare backrupty na hao Dowans wajue wa kumkaba maana kama nijuavyo mimi Serikali sio controling midnya Tanesco na haiwezi kulazimishwa kuwalipia TAnesco...kama Tanesco sio independent power supply company basi tujue kwamba kulikuwa hakuna sababu ya akina EWURA kuwa regulate...

Please TANESCO go BANKRUPTCY AND START AFRESH ...IS THAT TOO MUCH TO ASK?
TANESCO is worth more than those big three telecom companies put together. Hii kampuni kama ikipata mtu ambaye atai run vizuri mbona ni profitable sana?

TANESCO haiwezi ku-declare bankruptcy ina assets (14% ya Tanzanians, customers) ambao wana gurantee income kila mwezi. Wakijaribu declare bankruptcy, anachaguliwa administrator ana-run company for 12months na jamaa wanapata hela zao, on top of that administrator anaweka fees zake, (uuuuiiiii) ni very expensive kwa kampuni kama TANESCO ku-declare bankruptcy.

Kama ingekuwa ATCL wanadaiwa ndio ingekuwa cheap ku-declare bankruptcy.

TANESCO wanatakiwa wa-negotiate longtime payment, lakini inaonekana DOWANS watalipwa haraka sana kwa kuwa hii ni inside job.

TANESCO wana opportunities nyingi sana za kushinda hii kesi even now, lakini hii ni inside job kwa hiyo TANESCO lazima washindwe na DOWANS lazima walipwe.

Kwanini vyama vya upinzani visiiambie serikali sisi tutaitetea TANESCO na wa-appeal on their behalf (the problem is how many commercial lawyers ni wapinzani na je govt watakubali?)
 
Gazeti linasema hivi,

Kwenye hizo asilimia sina hakika kama ni sahihi ila nimechukua kama ilivyo kwenye gazeti.
,

ahsante..... hizo hisa unaweza kuhisi zina gawikaje..... mana kuna class A ...... sasa sijui jumla ya asilimia ya hisa ni ngapi .... lakini all in all in what ever type %ge should be 100 na hizo tunaona ni 81+51=132
 
sijui ni hii voda-mobilepartner au nini... nimeshindwa ku-download
 
Kwa hiyo hapa napata picha jinsi srikali yote imeoza..Richmondul kamrithisha Rostam as DOWANS amiliki Richmond...ukiangalia mzunguko wote huu...ni kwamba lowasa yupo ndani, Vodacom inamilikiwa na Rostam mtoto wa makamba yupo ndani ambaye tayari ni mke wa mkurugenzi wa vodacom!!!!

Hapa napata homa.

Ukifuatilia makampuni yote yanayomilikiwa na Rostam na watu wake no one is clean in Government. Sasa nijiulize TZ hatuna wanasheria wa kwenda kutukomboa kwa hili?

Kama wapo wajitokeze tutachangia garama sisi kama wananchi mpaka kieleweke!!! Haya ni more than mauaji....Nchi imeuzwa sioni aliye na msimamo hata rais haeleweki.

USALAMA WA TAIFA MNASIMAMIA USALAMA WA TAIFA GANI??
 
sijui ni hii voda-mobilepartner au nini... nimeshindwa ku-download

hata mimi natumia voda, wewe unatumia browser gani? kama unatumia google chrome nakushauri utumie explorer itachukua mda lakini mwisho itadownload
 
Baada ya kusoma hii document...especially sehemu ya uamuzi nimefikia conclusion kuwa RA ni mtu mwenye akili sana. I am starting to admire him. The guy is very smart.

Anajua vizuri kutumia ujinga wetu kutengeneza mapesa kirahisi tu...What else can we say. Ni kama mfano wa virus anayeingia mwilini (eg HIV) na kutumia machinery za cell kuendeleza mambo yake ikiwemo kuzaliana. That's what the guy has been doing...Nadhani tunatakiwa kumpashia.

Baada ya hapa nadhani tuwe wapole na tumwombe tu tumlipe taratibu...Sina hakika kama kuna mwanasheria ataweza kutusaidia kama wananchi kwa sababu inaonekana jamaa alishakusanya wale wenye bongo na kuwatumia. Sijui kama bado tuna hata tundu la kutokea.

Mimi si mwanasheria ila nasubiri wenye taaluma yao watuelimishe!
 
Mzee ngoja tuipitie kwanza mana ni mchuzi mtamu huu wa kufungulia mwaka 2011
 
Back
Top Bottom