Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,476
- 39,995
Tatizo kubwa ni kwamba kweli serikali ilijenga hoja nzuri za kuanzia lakini haikuwa na backup ya hoja hizo ni kama mtu ambaye hakujiandaa na kesi na badala yake wao wakawa wanasubiri majibu ya Dowans. Matokeo ya hili ni kuwa Dowans waliwagaragaza kama watoto wadogo katika mchezo wa chandimu.