Serikali msijaribu kulificha suala la ajali ya Waziri Dugange, maana kama ilivyo KARMA itaondoka na vichwa vya watu.
Mwanzo kabisa zilitokea tetesi:
1. Naibu waziri apata ajali akiwa na gari la serikali akikimbizwa kufumaniwa na mke. Mpenziwe afariki kutokana na ajali hiyo.

2. Tetesi hizo zilikanushwa na Polisi, na kukanusha kuwa hakuna aliyefariki ajali hiyo

3.Makamu wa Rais alimtembelea Naibu Waziri hospitali.

4.Mpenzi wa Naibu Waziri bado hakujulikana, bodoboda waliofika eneo la ajali waliona maiti ya mwanamke.

5.Tunapata habari mwanafunzi Nusra Hassan ati kafia Moshi kilimanjaro kwa kipigo cha mpenzi wake.
Jina la mpenzi wake halijulikani.

6. Hospitali huko Himo Moshi, inakanusha kumpokea Nusra hospitalini hapo.

7. Taarifa mkanganyiko za kifo cha Nusrat Hassan toka chuoni kwake UDOM, zinakubali kutokea kifo lakini hazielezi mazingira wala sababu za kifo, wala kama wameripoti polisi.

8. Polisi kama kawaida inafuatilia tu taarifa za mitandao, haikiri kama kuna RB imefunguliwa na mtu yeyote.

9. Ndugu wa Marehemu Nusra isivyo kawaida hawajajitokeza hadharani kudai taarifa sahihi za kifo cha ndugu yao.

KUTOKANA na mlolongo huo ni dhahiri sasa mtu mwenye akili atagundua kuwa mwanamke aliyekuwa na Dugange si ajabu ni huyo Nusra, hatuna uhakika huo, lakini mazingira ya tukio yana shabihiana.

Hivyo basi, POLISI na Dugange , mumwogope Mungu.
Kubalini na muwe wakweli kwa yaliyotokea ili ukweli ukidhihirika wananchi watakuwa wepesi kusamehe.

Lakini mkipandikiza uongo juu ya uongo mbingu na nchi hazitawasamehe.

Mbaya zaidi mnamharibia Mama Samia, hatutaki kurudi kule tulikotoka, kuficha ukweli.
 
Duh! Ila kwenye hili ishu ni nini haswa! Mtu kufa kwenye ajali!!? Fumanizi!!? Kumjua aliekufa kwenye ajali!!? Kupotea/kifo cha mwanafunzi wa chuo!!? Au ni nini
ATTACH=full]2612299[/ATTACH]
 
Attachments

  • JamiiForums-1766282887.jpg
    JamiiForums-1766282887.jpg
    19.6 KB · Views: 5
Toka yule askari wa kike mkaguzi wa ajali ya Mwendokasi pale Kisutu aseme "mwananchi aliyeonekana kwenye CCTV camera akifuatwa kwa kasi na bus lililokosa uelekeo hakujeruhiwa ila pressure tu ilimpanda" kisha baada ya muda nikaziona video halisi za tukio lile jamaa akiwa amelala chini hajitambui na damu zinamvuja sinaga imani nao.

Kuna wakati kabisa huwa najiuliza mara mbili mbili kama ni sahihi kwa mwananchi wa kawaida akipata shida kwenda kuwaambia hawa watu maana huhisi ni kama wanaweza wakamuongezea matatizo.
 
Serikali msijaribu kulificha suala la ajali ya Waziri Dugange, maana kama ilivyo KARMA itaondoka na vichwa vya watu.
Mwanzo kabisa zilitokea tetesi:
1. Naibu waziri apata ajali akiwa na gari la serikali akikimbizwa kufumaniwa na mke. Mpenziwe afariki kutokana na ajali hiyo.

2. Tetesi hizo zilikanuswa na Polisi, na kukanusha kuwa hakuna aliyefariki ajali hiyo

3.Makamu wa Rais alimtemnelea Naibu Waziri hospitali.

4.Mpenzi Naibu bado
hakujulikana, bodoboda waliofika eneo la ajali waliona maiti ya mwanamke.

5.Tunapata habari mwanafunzi Nusra Hassan ati kafia Moshi kilimanjaro kwa kipigo cha mpenzi wake.
Jina la mpenzi wake halijulikani.

6. Hospitali huko Himo Moshi, inakanusha kumpokea Nusra hospitalini hapo.

7. Taarifa mkanganyiko za kifo cha Nusrat Hassan toka chuoni kwake UDOM, zinakubali kutokea kifo lakini hazielezi mazingira wala sababu za kifo, wala kama wameripoti polisi.

8. Polisi kama kawaida inafuatilia tu taarifa za mitandao, haikiri kama kuna RB imefunguliwa na mtu yeyote.

9. Ndugu wa Marehemu Nusra isivyo hawajajitokeza hadharani kudai taarifa sahihi za kifo cha ndugu yao.

KUTOKANA na mlolongo huo ni dhahiri sasa mtu mwenye akili atagundua kuwa mwanamke aliyekuwa na Dugange si ajabu ni huyo Nusra, maana mazingira ya tukio yana shabihiana.

Hivyo basi, POLISI na Dugange , mumwogope Mungu.
Kubalini na muwe wakweli kwa yaliyotokea ili ukweli ukidhihirika wananchi watakuwa wepesi kusamehe.

Lakini mzipandikiza uongo juu ya uongi mbingu na nchi hazitawasamehe.

Mbaya zaidi mnamharibia Mama Samia, hatutaki kurudi kule tulikotoka, kuficha ukweli.
Hili suala mwenye akili hajiulizi mara mbili. Lkn kama ulivyosema Wanyiramba sio wajinga litakufa jitu. Waulize familia ya Ditopile kilichotokea baada ya figisu za aina hii kufuatia kumchapa risasi yule dereva mtukutu.
 
Serikali msijaribu kulificha suala la ajali ya Waziri Dugange, maana kama ilivyo KARMA itaondoka na vichwa vya watu.
Mwanzo kabisa zilitokea tetesi:
1. Naibu waziri apata ajali akiwa na gari la serikali akikimbizwa kufumaniwa na mke. Mpenziwe afariki kutokana na ajali hiyo.

2. Tetesi hizo zilikanushwa na Polisi, na kukanusha kuwa hakuna aliyefariki ajali hiyo

3.Makamu wa Rais alimtembelea Naibu Waziri hospitali.

4.Mpenzi wa Naibu Waziri bado hakujulikana, bodoboda waliofika eneo la ajali waliona maiti ya mwanamke.

5.Tunapata habari mwanafunzi Nusra Hassan ati kafia Moshi kilimanjaro kwa kipigo cha mpenzi wake.
Jina la mpenzi wake halijulikani.

6. Hospitali huko Himo Moshi, inakanusha kumpokea Nusra hospitalini hapo.

7. Taarifa mkanganyiko za kifo cha Nusrat Hassan toka chuoni kwake UDOM, zinakubali kutokea kifo lakini hazielezi mazingira wala sababu za kifo, wala kama wameripoti polisi.

8. Polisi kama kawaida inafuatilia tu taarifa za mitandao, haikiri kama kuna RB imefunguliwa na mtu yeyote.

9. Ndugu wa Marehemu Nusra isivyo kawaida hawajajitokeza hadharani kudai taarifa sahihi za kifo cha ndugu yao.

KUTOKANA na mlolongo huo ni dhahiri sasa mtu mwenye akili atagundua kuwa mwanamke aliyekuwa na Dugange si ajabu ni huyo Nusra, maana mazingira ya tukio yana shabihiana.

Hivyo basi, POLISI na Dugange , mumwogope Mungu.
Kubalini na muwe wakweli kwa yaliyotokea ili ukweli ukidhihirika wananchi watakuwa wepesi kusamehe.

Lakini mkipandikiza uongo juu ya uongo mbingu na nchi hazitawasamehe.

Mbaya zaidi mnamharibia Mama Samia, hatutaki kurudi kule tulikotoka, kuficha ukweli.
Ccm ya sa100 imejaa wahuni walio tukuka
 
Back
Top Bottom