Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 877
- 4,106
Viongozi wanapopata ajali tumezoea kuona viongozi wenzake kupitia akaunti zao binafsi za mitandao ya kijamii zikitoka pole Ila kwa huyu Naibu Waziri watu wamekaa kimya.
Sidhani kama inaleta afya, inaonyesha kama ametengwa.
Tujitahidi kuondoa double standard Kwa Sababu angekuwa anatoka miongoni mwa zile big eighty families lazima viongozi wote wangepost, Ila Kwa Sababu kapenya kutokea Kwa mkulima kuja kuwa Naibu waziri no one cares.
Tunayo mifano mingi ya ajali za viongozi na namna zilivyoripotiwa ila hii hapana. Tuweke usawa hata Kwa unafiki. hata tovuti ya wizara imedelay Sana ikiwemo Bunge.
Zaidi, soma: Dodoma: Naibu Waziri wa TAMISEMI Festo Dugange, apata ajali ya gari