MLEVi Mmoja
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 8,450
- 14,894
Usisitike love bora hawa wakijani ni zimwi tunalolijua hao upinzani ndio shetani kabisa
Usisitike love bora hawa wakijani ni zimwi tunalolijua hao upinzani ndio shetani kabisa
sasa akili yako yenyewe ipo hivo halafu mnauliza nani kawaloga,haya endeleen kumtafuta mchawi wenuHuyo mungu wako bora kafa, Ingekuwa hata Ikulu iuzwe kwa sababu za kuondoa ile kadhia mimi ningekuwa tayari
# Kakonko ni mpakani mwa BurundiUteuzi wa ma DC ukikosa basi kaoge baharini itakuwa ukoo wenu una laana ya vizazi vinne! Wabongo wanapinga kuuzwa nchi yao kinara wao Nduguyai we unasupport?
Hivi Kakonko ni mpakani na nchi Gani utakuwa mzamiaji I guess not a citizen by birth!
Zote isipokuwa ya AyubuKama unajua mkataba wa kubinafsisha bandari ya Dar kwa kampuni ya DP World ulipitishwa na Bunge letu kwa kura ngapi basi tafadhali tujuze. Au hapakuwa na haja ya kupiga kura?
Hapakuwa na haja ya kupiga kura ndiyo!Kama unajua mkataba wa kubinafsisha bandari ya Dar kwa kampuni ya DP World ulipitishwa na Bunge letu kwa kura ngapi basi tafadhali tujuze. Au hapakuwa na haja ya kupiga kura?
Kama unajua mkataba wa kubinafsisha bandari ya Dar kwa kampuni ya DP World ulipitishwa na Bunge letu kwa kura ngapi basi tafadhali tujuze. Au hapakuwa na haja ya kupiga kura?
🤣 🤣 🤣 🤣Umepikwa na umeiva, bado kuula tuView attachment 2656399View attachment 2656400View attachment 2656401
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Alipikwa na nguo? Nikajua alivua bwana.
sipati picha mchuzi/supu yakeAlipikwa na nguo? Nikajua alivua bwana.
Nimesikia kuhusu mkataba wa DP world na Tanzania nimesikia ni mkataba wa milele kuna mtu anaweza kutuma pdf ya mkataba huo humu? Nataka kusoma mwanzo mwisho kiunaga ubaga