Ninakumbuka Serikali ilisaini mkataba na DP WORLD kuendesha baadhi ya magati katika Bandari ya Dar es Salaam. Ninauliza, Je wameishaanza kazi?. Je kama wameanza kazi Serikali imepata mapato kiasi gani tangu waanze kazi?. Je ni maboresho gani gani wamefanya tangu waanze kazi?.