Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

Uteuzi wa ma DC ukikosa basi kaoge baharini itakuwa ukoo wenu una laana ya vizazi vinne! Wabongo wanapinga kuuzwa nchi yao kinara wao Nduguyai we unasupport?

Hivi Kakonko ni mpakani na nchi Gani utakuwa mzamiaji I guess not a citizen by birth!
# Kakonko ni mpakani mwa Burundi
# Mimi raia wa Tanzania kwa kuzaliwa;
# DP world hatuwezi kurudi nyuma - ona 1990s wakati maoni yanachukuliwa kwa watanzania kuhusu vyama vingi vya siasa 21,% walikubali na 79% walikataa.
Lkn busara za kiongozi zilitumika leo tuna vyama vingi.

So, hata hili la DP world tumelipitisha na kuliunga mkono baada ya kutizama manufaa yake.

Ondoa hofu
 
Ccm ni ukoo wa panya,baba mwiz ,mama mwiz had watoto ni wez hivo hawana cha kutuambia tena watz,ccm imechoka na hawajitambui tena

Lkn ngoz nyeus ni kama ina laana fulan mana kwa yanayoendelea kwenye nchi nyingi za kiafrika ni zaid ya ujinga

Wafrika tunajali zaid matumbo yetu ya leo bila kujali kesho yetu itakuwaje

Kama kweli waarabu,wachina na wazungu wanapenda sn ushirikiano bas tuwape elimu yetu ili watupe ujuezi walionao ay tuwape wizara ya afya ili waboreshe na sisi tutibiwe vizur kama wao wanapokua katika nchi zao
 
Wamarekani waliikataa kampuni hii kufanya nayo mkataba ktk bandari zake ss hatutaki kujifunza.
 
Kama unajua mkataba wa kubinafsisha bandari ya Dar kwa kampuni ya DP World ulipitishwa na Bunge letu kwa kura ngapi basi tafadhali tujuze. Au hapakuwa na haja ya kupiga kura?
 
Kama unajua mkataba wa kubinafsisha bandari ya Dar kwa kampuni ya DP World ulipitishwa na Bunge letu kwa kura ngapi basi tafadhali tujuze. Au hapakuwa na haja ya kupiga kura?
Hapakuwa na haja ya kupiga kura ndiyo!

Misingi ya hicho chama wote hakuna anayethubutu kwenda tofauti na mwenyekiti wao so wapo ambao kwa mambo yanavyoenda mioyo yao inavuja damu lakini matumbo yao nayo yana njaa so wanakuwa hawana la kufanya.
 
Hawakupiga Kura spika alisema wanaoafiki waseme ndio ikasikika mizee inasema ndioooo sauti nzito akasema wasio afiki waseme siyoo zikasikika visauti vingi vya kike vikisema siyoooo spika akasema wandio wameshinda
Kama unajua mkataba wa kubinafsisha bandari ya Dar kwa kampuni ya DP World ulipitishwa na Bunge letu kwa kura ngapi basi tafadhali tujuze. Au hapakuwa na haja ya kupiga kura?
 
Nimesikia kuhusu mkataba wa DP world na Tanzania nimesikia ni mkataba wa milele kuna mtu anaweza kutuma pdf ya mkataba huo humu? Nataka kusoma mwanzo mwisho kiunaga ubaga
 
Back
Top Bottom