Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

Watanzania walioaminishwa na Hayati Magufuli kwamba wanaweza na nchi yao ni tajiri na wakaanza kujenga miradi ya matrillioni ya fedha kama ndege, SGR, bwawa la umeme, kuhamia Dodoma, elimu bure, madaraja marefu Afrika mashariki na ya kati etc, ghafla sasa upepo umebadilika viongozi wote wanahubiri watanzania hawawezi na hawajiwezi kwa lolote kabisa!

Bunge linasema kila kitu kipitishwe kwa sababu watanzania hawana uwezo wa kifedha wala akili ya kuendeleza miradi mikubwa kama ya bandari.

Wapo pia wanasema hata taasisi za bunge na urais nazo zibinafisishwe ili ziweze kutoa matokeo chanya na ya haraka kwa wananchi.
 
1686853152380.png
 
Jionee mwenyewe .
Huku wanatusumbuaga na MAVI ng'ora ila wakienda kwenye nchi za watu wanakuwa wadogo Mithili ya .piliton
View attachment 2658762
The Burning Spear a.k.a msemaji wa Chato una wivu kuliko hata mamkwe wako pimbi wewe! Na bado tutabinafsisha hadi hii JamiiForums ili iendeshwe na kuchangiwa mada na watu wenye fikra chanya sio kilaza kama wewe uliyejaa makasiriko! Vp Stendi kuu mpya ya chato kuna basi limeshawahi kuingia na kutoka baada ya kujengwa! Pimbi wewe Mwache Mama aendelee kuupiga mwingi jipu wewe!
 
Back
Top Bottom