Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

Kwa tabia ya watawala wa kibongo kuna watu wengi Sana wata umizwa kwa hii Sheria, wata ituima kama kichaka cha kuwaumiza wale wanao wapinga
 
Katelelo ni mchezo mchafu sana kumwambia mwanaume amepigwa SI vizuri, binafsi Mimi sijapigwa katelelo kwa kweli.

Ila la bandari ndiyo swala la msingi
 
Sijui kama kumbukumbu zangu zipo sahihi lakini nakumbuka kuna siku Rais wa Rwanda Mh Paul Kagame alipata kutamka,

"Kama Rwanda ingekuwa na bandari kama ya Dar es Salaam, huduma zote Rwanda ingekuwa bure!"​

Wenzetu wanatuonea wivu tuna kila kitu kizuri chenye thamani lakini wenyewe hatuoni kama tuna chochote kitu! Kana kwamba hatuna akili wala uwezo wa kuviendesha, tunaalika wenye akili waje kuviendesha!

Hivi ni nani aliyeturoga?

Hivi ni kweli Tanzania hii yenye mamilioni ya watu hakuna aliye mzima wa akili?

Wakati viongozi wa mataifa ya wenzetu wanaiba mali toka mataifa mengine kwa ajili ya kuendeleza mataifa yao, maviongozi yetu yanatuibia mali zetu kwa ajili ya mataifa ya wenzetu!

Unakuta jitu zima lililosomeshwa kwa fedha zetu linakwapua mabilioni ya pesa nchini na kuzihifadhi kwenye ma"bank" ya nchi za nje bila kujua kwamba huo ni mtaji mkubwa kwao! Watakopesha watu wao na kujenga nchi zao! Halafu tukitukanwa sisi ni manyani, tunakuwa wakali!! Huu ni ujuha uliopita kikomo! Tunahitaji kukua na kujitambua!

Mtanisamehe sana kwa kuongea haya lakini yanatuumiza wananchi!
 
Wachawi ndiyo wameturoga. Kama watu wanatafuta uongozi kwa kuroga mlitarajia mbaki salama au huwa mnadhani yale ni maigizo?
 
Samia hawezi kabisa kutumia akili yake.kuchambua mambo kwa manufaa ya watanzania, hili la bandari ameamua tu kufuata akili yake ya kukaririshwa kwamba serikali haifanyi biashara, matokeo yake ndio amejiongeza kabisa kwenda kuitoa sadaka bandari yetu.

Ametukosea sana wabara, anatakiwa kutuomba radhi.
 
Sijui kama kumbukumbu zangu zipo sahihi lakini nakumbuka kuna siku Rais wa Rwanda Mh Paul Kagame alipata kutamka,

"Kama Rwanda ingekuwa na bandari kama ya Dar es Salaam, huduma zote Rwanda ingekuwa bure!"​

Wenzetu wanatuonea wivu tuna kila kitu kizuri chenye thamani lakini wenyewe hatuoni kama tuna chochote kitu! Kana kwamba hatuna akili wala uwezo wa kuviendesha, tunaalika wenye akili waje kuviendesha!

Hivi ni nani aliyeturoga?

Hivi ni kweli Tanzania hii yenye mamilioni ya watu hakuna aliye mzima wa akili?

Wakati viongozi wa mataifa ya wenzetu wanaiba mali toka mataifa mengine kwa ajili ya kuendeleza mataifa yao, maviongozi yetu yanatuibia mali zetu kwa ajili ya mataifa ya wenzetu!

Unakuta jitu zima lililosomeshwa kwa fedha zetu linakwapua mabilioni ya pesa nchini na kuzihifadhi kwenye ma"bank" ya nchi za nje bila kujua kwamba huo ni mtaji mkubwa kwao! Watakopesha watu wao na kujenga nchi zao! Halafu tukitukanwa sisi ni manyani, tunakuwa wakali!! Huu ni ujuha uliopita kikomo! Tunahitaji kukua na kujitambua!

Mtanisamehe sana kwa kuongea haya lakini yanatuumiza wananchi!
Huyo alietamka hayo maneno akawakaribisha Dp World wahudumie Bandari yake.

Halafu wewe unayechukua maneno Ya Kagame unapingana na Matendo yake kuhusu Bandari, Maana Hutaki Dp world wakati Kagame ameona Dp world ndio wanaweza Muingizia Hio Hela.

Walipopewa Tenda Rwanda cha Kwanza Dp world walijenga Fridge kubwa la kuhifadhia bidhaa zinazoharibika kama Mboga na Matunda zinazosafirishwa nje ya Nchi, Lina ukubwa wa Sqm 500.

Ghafla tu Rwanda imekuwa big player kwenye Ku Export mboga na Matunda, mwaka jana Ongezeko ni Asilimia 70 na inakadiriwa hadi 2026 Ongezeko litakua asilimia 600.

Sio Coincidence Matunda ya Rwanda yamekua Big deal ni Dp world na Vifaa vyao vya Kisasa,

Hapa Tanzania Parachichi letu India linauzwa around 10,000 Parachichi ambalo unalipata mia kadhaa kwa mkulima, ila kutokana na Ubovu wa usafirishaji inabidi ununue kwa Mkulima fasta fasta halafu usafirishe kwa ndege unakuta maparachichi 1000 yanaweza yakapona maybe 100 tu mengine yanaoza, imagine ungekua na Storage za Kisasa Mkulima mwenyewe Akivuna tu Yanaingia kwenye Mafridge makubwa, Malori yenye macontainer ya Fridge yanabeba na kupeleka Ndege/Meli zenye Fridge hadi destination Huoni Tungeiga vizuri mfumo wa Rwanda? Kuliko Kuleta maneno tu Ya kisiasa?
 
Aliyekua na ndoto hizo hayupo na mlimteketeza sasa huyu anae upiga mwingi mwachen aupige mwingi mpaka umwagike, mbwa koko nyie
Huyo mungu wako bora kafa, Ingekuwa hata Ikulu iuzwe kwa sababu za kuondoa ile kadhia mimi ningekuwa tayari
 
Huyo Kagame ni kelele tu kwa sababu anajua hana hiyo bandari na kamwe hawezi kuipata ni kama wachambuzi wa soka anakuambia hapa kocha angefanya hivi angeshinda hii mechi, mpatie hiyo timu sasa uone madudu atakayoyafanya.
 
Back
Top Bottom