selemala
JF-Expert Member
- Feb 14, 2007
- 367
- 245
kutokana na katiba Mbunge ni nani?
Hakuna bunge na wabunge walikuwa kikaoni ?...
kutokana na katiba Mbunge ni nani?
Hakuna bunge na wabunge walikuwa kikaoni ?...
Wapinzani ni muhimu sana, kama wapo. Kama unataka tumehuru ituletee wapinzani kwa ajilu ya wapinzani tu, sema.Naona umuhimu wa wapinzani kuwapo bungeni, Magufuli umetuletea balaa kwa kupitisha pitisha wabunge wa ccm kwa mabavu
Ukijuwa wewe inatosha.
Makubaliano yashapitishwa na Bunge.
Nasherehekea.
Shida yetu ni uninafsi,kupenda kitonga na sera za Siri za watawaliwa wandunia na watawala wa dunia,unajikiaje Ukraine wanavyopambania ardhi ya,hapo ni Islael na Sub Arabs league.Hii post itakuwa kwa ufupi sana. Maake nyingine huwa zinaondolewa ndani ya dk10 tu toka nipost. Hilo limenipa faraja sana kuwa kumbe nina mawazo mafupi lkn ya kitofauti. Mods hili liachen kidogo...
Hapa naona mmekutana.Shida yetu ni uninafsi,kupenda kitonga na sera za Siri za watawaliwa wandunia na watawala wa dunia,unajikiaje Ukraine wanavyopambania ardhi ya,hapo ni Islael na Sub Arabs league.
Za kwangu tatu wameziondoa ndani ya dakika 5 tu kisa nimewasema wazungupost itakuwa kwa ufupi sana. Maake nyingine huwa zinaondolewa ndani ya dk10 tu toka nipost. Hilo limenipa faraja sana
Wakifikia huko nashauri waanze na sukuma gang wawauze woteBado kuanza kuuzwa watu tu. Wakimaliza vyote wataanza watu.
Bunge letu ni "kitengo/idara" ndani ya CCM. Hiyo ni legacy ya Mwendazake. Alikusudia na alitaka kulitumia kama mlivyoona.Hivi Bunge letu lina jipya na cha maana kweli ukiondoa compliance ya Katiba? Nina maanisha does it meet objectives of its establishment or it merely the matter of Katiba compliance?