DODOMA: Bunge laazimia kuwa RC Dar na DC Arumeru waitwe mbele ya Kamati ya Haki, Kinga na Madaraka

Lazima wabunge walinusulu taifa kwaani kwa sasa taifa liko katika wakati mgumu kuliko wakati wowote ule, kwanza uchumi umedolola, pili ukame na njaa imetamalaki nchi nzima, serikali haina hela, yaani mambo ni mengi sana, na sasa hili sakata la kudili na wauza dawa za kulevya linafanyika kijinga serikali itaenda kushindwa kesi na kufidia watu pesa nyingi, mfano ona issue ya wema sepetu imegeuka kuwa upuuzi tu.
 
makonda endelea kuwapiga za udo hawa wanaotuharibia wanetu kwa madawa ya kulevya
 
hawana lolote hawa wabunge, makonda nakushauri ongeza kukanyaga mafuta mpaka wachanganyikiwe wachekeshaji hao wakiongozwa na mpigaji chenge
 
Hivi bunge Hawaioni Juhudi anazo Fanya Makondaa HAWA WABUNGE VIPI

nina Imani na Magufuli sidhani kama Atalifumbia macho anaweza tenguliwa mtu na jamaa akapandishwa Cheo hapo ndipo mtakapo washwa
 
Hili bunge muda mrefu sijasikiliza inaelekea ni zuri au ndiyoooo
 
Chui wa kuchora au paper tiger kwa kingereza maana yake ni chui asiyeweza kuleta madhara. Msemo huu ni maarufu sana korea na unatumiwa kwa wale watu waliokuwa na power pindi wanapopoteza madaraka au power huanza kuonekana kama ni chui wa kuchora.

Awamu hii tumeshuhudia mambo mengi ya ajabu, hakuna utaratibu wa kibajeti unaofuatwa, democrasia bungen inakanyagwa n.k. Lakini katika mambo hayo yote hatujaona zile cheche za bunge tulizozea.

Bunge letu ni kama limeng'olewa meno, limepoteza kabisa uwezo wa kuisimamia serikali hata wao wenyewe wanajua hilo, wanasukuma siku bora liende. Kwa mantiki hii sina hakika kama serikali ikipuuza maadhimio ya bunge itachukuliwa hatua.

Nawasilisha....
 
Natamani apatikane mtu wa kuwatia hasira
Wapi Zito wa kigoma Kaskazini, leo naye hana hoja! Bunge shenzi zake.
Ngoja watu wauze madawa, wakahonge waingie Bungeni kutetea madawa na kuazimia kung'oa wanaharakati wa madawa hayo
 
Back
Top Bottom