mzee wa mazabe
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 844
- 626
Lete logic mkuu, kwanini akaojiwe Dodoma kwani Bunge siku hizi ni mahakama, kama wangeona Mkuu wa Mkoa Bwana Paul Makonda anashida wangeomba kibali kwa IGP ili nae aojiwe lakini uwezi kwenda kumuhoji mtu ambaye amekutuhumu.Acha porojo, kwenda ni lazima. Mbona yeye kwa mamlaka yake akiwaita wenzake kwenda polisi wanatii, yeye kwa nini asitii mamlaka nyingine? Mungu atamlinda tu yeye aende. Kazi yake ni njema asihofu