NZURI PESA
JF-Expert Member
- Mar 25, 2011
- 5,958
- 2,951
hata ya panya buku mkuu!Ya kitimoto au mbuzi Mkuu??
hata ya panya buku mkuu!Ya kitimoto au mbuzi Mkuu??
ndio atajua hakuna bunge la Dar es SalaamAlisema yeye ni mkuu wa mkoa wa Dar, mambo ya Dodoma ni nje ya mipaka yake
Hakuna nazi ngumu juu ya jiweVita ni vita Mura...makonda komaa
Natamani apatikane mtu wa kuwatia hasiraHeshima ya bunge inakufa kwa sababu wabunge ni WANAFKI..Period!
Wapi Zito wa kigoma Kaskazini, leo naye hana hoja! Bunge shenzi zake.Natamani apatikane mtu wa kuwatia hasira