AshaDii
Platinum Member
- Apr 16, 2011
- 16,190
- 18,080
- Thread starter
- #401
Nitaanza kuchaji kutumika kwa hili jina!
Naomba wewe utalipia kutangaza biashara yako hapa maana naona umepata mteja....lol
nilikuwa nawadanganya mpenzi.
Aiseeee!!!
Last wiki nilikuwa namrudi kandabongoman bafuni! Inde monieeee! inde moniee! Dah! nilisahau kama bafu lenyewe sijadeki siku nane na nusu , Kulaleki! niliteleza nikaanguka kichwa kichwa,nimevimba shavu la kushoto na mpaka leo shingo siwezi kugeuza nyuma ,inabidi nitumie site mirror.
Usafi muhimu wajameni!..... tusemeni amen!
Amen!