Do You Remember?


Nitaanza kuchaji kutumika kwa hili jina!

Naomba wewe utalipia kutangaza biashara yako hapa maana naona umepata mteja....lol

nilikuwa nawadanganya mpenzi.

Aiseeee!!!

Last wiki nilikuwa namrudi kandabongoman bafuni! Inde monieeee! inde moniee! Dah! nilisahau kama bafu lenyewe sijadeki siku nane na nusu , Kulaleki! niliteleza nikaanguka kichwa kichwa,nimevimba shavu la kushoto na mpaka leo shingo siwezi kugeuza nyuma ,inabidi nitumie site mirror.

Usafi muhimu wajameni!..... tusemeni amen!

Amen!
 
nimekutafuta juzi tucheze spanish guitar ukanichunia. Sijui nilie.
hawa Arsenal wananichanganya na kuniharibia mood juzi tumefungwa 4-3 na kati ya hayo 4 mawili tumejifunga wenyewe,weekend hii siangalii mpira friday-sunday ni Husninyo time,haya onyesha meno yako yote basi na zile dimples nizipendazo.
 
Kamanda, Hus, ADI na wote mliohuzuria sredi hii acheni nilog out bana, mida za kuwapa paka wa tajiri msosi zimefika.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom