Do you have guts??? Basi "Brag" a bit....

AshaDii

Platinum Member
Apr 16, 2011
16,190
18,078

Habari wana JF…..
:poa

Kuna ule msemo ama kasumba katika Jamii kua Mwanadamu inatakiwa asifiwe na sio kujisifia.... Sasa kutokana na adha na kero ambazo zipo zimetuzunguka zikiendeshwa na maisha yenyewe yalivo magum na Uongozi wa magulumashi, watu tumesahau kabisa kutoa sifa kwa wenzetu na wao kwetu (hasa tunapostahili); Kwa mktadha huo natoa nafasi ya kila mmoja atae jisikia ajidai/jisifu na kujikubali kwa lile ambalo hata yeye anaona anastahili kusifiwa.... Hivo basi NAKUULIZA ulopita hapa.....

Do you have guts??? Baaas "Brag" a bit!! lol

P.S: Vigezo na Masharti ya JF Rules Vizingatiwe….(ADI)
 
Sifa jisifie, wasiokuweza wachukie.

Mimi. . . nimejitahidi kupungua. . bado kama kilo 10 hivi na mie nivae size 4 nipate cha kiringishia zaidi.
 
Sifa jisifie, wasiokuweza wachukie.

Mimi. . . nimejitahidi kupungua. . bado kama kilo 10 hivi na mie nivae size 4 nipate cha kiringishia zaidi.

Hongera sana Lizzy, naona you have more kgs to go to your target than mine.... But you will reach there dear... Bravo!
 
Nimekula kuku na ubwabwa..acheni utani kabisa ninakoishi inapita hadi mwaka hamna aliyepata hiyo nafasi..so let me brag

Lmao!! wewe kweli hufai.... Kimebaki uni postie?

On a serious note: What is your best feature?
 
mimi niko successful saana kwa kuangalia matatizo niliyopitia....

so najiona very successful sio kwa ku achieve much
but for surviving what i have been through....

nikitazama nyuma nasema....dah......life is good.....
 
Je ukiwa mbele ya kioo unasema "dah. . I look good" ???!
 
Nimemantain kitambi,
tangu nilipokipata kwa mama some moths back. Hii nimeifanya on my own...
Bravo Mphamvu!
 
mimi niko successful saana kwa kuangalia matatizo niliyopitia....

so najiona very successful sio kwa ku achieve much
but for surviving what i have been through....

nikitazama nyuma nasema....dah......life is good.....

This is something.... Anyone should adapt this.... Nimeipenda Boss.

How have you been?
 
mimi niko successful saana kwa kuangalia matatizo niliyopitia....

so najiona very successful sio kwa ku achieve much
but for surviving what i have been through....

nikitazama nyuma nasema....dah......life is good.....
Mhh!!! The Boss umesahau uliniambia kuwa you have been told that you're a spiffy dresser and that when it comes to physical attractiveness, a few well endowed females have been quick to compliment on your looks saying that you're a handsome man.
 
Back
Top Bottom