Dkt. Vicencia Shule: Ubora wa filamu ya Royal tour ni wa kiwango cha chini. Hata vijana wa bongo movie wangeweza kuitengeneza

Ana uhuru wa kutoa mawazo, mimi sijauona kiukweli km boko ni boko km nzuri watu watasema nzuri.
 
We na 4k yako au 16k unahis tz hakuna hebu fatilia kijana anaitwa ngoteya huyu anafanya movie za wanyama cheki kazi zake
uko sahihi kabisa na quality movie inabebwa na vitu vingi amabavo kwa pamoja vinakuwa kimoja ,kama acting, directing, writing, cinematography na production value ambavyo vikifanyika kwa ubora vinaleta athari chanya kwenye kuburudisha na simulizi yenye kueleweka (to tell one cohesive, entertaining, and impactful story.}
 
Kichwa kilichoenda shule kama jina lake, sio wale wanaosifiasifia kwaa kulenga uteuzi!,
Ni kitu gani kipya kinaonyesha utofauti kati ya njia zilizokwisha kutumika kuitangaza Tanzania?
 
KWakweli mimi nampenda sana mwalimu Vicensia Shule, alikuaga na urafiki sana na Dr. BAshiru kabla hawaja PHD holders; kuna mtu ana namba zake please? Tupeane connection bhana
 
Back
Top Bottom