Blackcornshman
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 6,082
- 13,959
😂😂😂 nina namba yake maaan.Hivi huyu dada kaolewa,namuelewaga sana
Ova
😂😂😂 nina namba yake maaan.Hivi huyu dada kaolewa,namuelewaga sana
Ova
Acha kuogopa vyeti,kazi zake za Sanaa ziko wapi!?Kumbuka huyo ni daktari wa falsafa kwenye mambo hayo ya sanaa.
uko sahihi kabisa na quality movie inabebwa na vitu vingi amabavo kwa pamoja vinakuwa kimoja ,kama acting, directing, writing, cinematography na production value ambavyo vikifanyika kwa ubora vinaleta athari chanya kwenye kuburudisha na simulizi yenye kueleweka (to tell one cohesive, entertaining, and impactful story.}We na 4k yako au 16k unahis tz hakuna hebu fatilia kijana anaitwa ngoteya huyu anafanya movie za wanyama cheki kazi zake
WANGEANDAA YENYE MIZIMUWa bongo muvi ya nyioko.
Rahisi kusema matendo hamnaNchi ya WAJUVI HII
Kweli viroboto mmeshiba mikojo kakosea wapi DrHuyu Dr. Ni mchawi mwenye fikra za kimasikini mbona kabla ya RT hakuwa na wazo lolote la kusaidia kupromote utalii.
Sasa akili ya kusubili akili ya wengine ibuni jambo Kisha we unajipa uhodari wa kukosoa tu. Ndiyo maana hapo kwenye avata yako umekuwa dubwe kama hippopotamusKweli viroboto mmeshiba mikojo kakosea wapi Dr
Hata ukijijengea kanyumba kako tu siku moja utakuta watu wameizunguka wengine wanakosoa na wengine wanasifia, yaani tuna uhodari wa ajabu.Ngoja tukiiona tutasema,ila Tz kuna katabia ka kukosoa kila kitu
Halafu wewe jamaa ni MuhayaSijakataa mkuu,kwanza hata mpaka sasa nimejitahidi nimesoma shule za zamani sana,tena nimefundishwa na walimu wa UPE)Ualimu pasipo kuwa na elimu)
Sana mkuu,tena ni Mtu kijijini kabisaHalafu wewe jamaa ni Muhaya
Jesus is Lord
Ona ulivyojibiwa kwa hoja:Hapo hata kushika kamera hajui,anadhani kutengeneza filamu ni Kama kunyoa sehemu za siri
Kwani quality ya filamu huwezi kujua mpaka ushike kamera? Mbona hata tulipokuwa wadogo kuna movie tulikuwa tunaziponda namna zilivyoandaliwa.
Umeona ni hoja hiyo!!..mtoto mdogo anaweza kujua ubora wa filamu!?..unajua ubora wa filamu ni kitu gani kwa kuanzia!?Ona ulivyojibiwa kwa hoja: