Dkt. Slaa na wanaharakati lazima watafute stove ya kujipikia chakula

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Apr 9, 2021
2,102
2,717
Sasa ni mambo gani yanaendelea Mwanza? Wanaharakati wataendelea kutafuta ukumbi wa mkutano au wataamua kuondoka Mwanza?

Mimi nadhani wanahitaji kuwa na subira na atatokea mtu atawakaribisha mahali ambapo wanaweza kufanya mkutano.

Siyo mkutano wa siku moja tu. Wanahitaji ukumbi wa kufanya mikutano kwa siku kadhaa,yapo mambo mengi ya kujadili.

Yule Costa Mahalu kawafukuza sio? Yile Costa Mahalu alikuwa Heaf Prefect Mkwawa High School.
Mi nafatilia news very imperfectly. Mi nilidhani Costa Mahalu amekufa.
 
Jamani, si walisema watafanyia kituo cha polisi?
 
Mi nilidhani Costa Mahalu amekufa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili jina linataka kufanana na Prof.Rhys David ambaye alikuwa Buddhist scholar.
Alas,yule mtu pia alikuwa anaitwa
William Rhys David na huyu ni William Rhys Mahalu.
Hey,what is this?
 
Dr Slaa kelele za mitandaoni na matusi ya Mwabukusi ndo alidhani ni nguvu ya umma? Kweli Dr Slaa ameishiwa kiasi cha kushikiwa akili na kichaa Mwabukusi na mhuni mmoja Mdude?
Kama hana nguvu ya Umma si mumuache afanye kongamano lake!?
 
Natamani kujiunga nao lakini sijapata connection. Hatuhitaji kongamano tunahitaji kila raia ajue hatari iliyo mbele yake. Na huwezi kuwafikia raia kupitia kongamano la ukumbini. Zipo njia nyingi za kuwafikia raia lakini inaelekea Dr Slaa na wenzio hawajazing'amua.
 
Watanzania sijui nani alituroga. Yaani tunaanza kuwapiga mawe majasiri miongoni mwetu walioweka uhai wao rehani kujaribu kumfunga paka kengele.

Hivi mnadhani hii label ya "Watanzania waoga" tutaivunjaje kama hata wale wanaojichomoza miongoni mwetu kuongoza njia tunaanza kuwakejeli, kuwatupia mishale, kuwapa maneno ya shombo eti kisa tuna mahaba na vyama fulani vya siasa?

Nilitegema taasisi zote zinazojitanabahisha kusaka mabadiliko nchini zionyeshe umoja, zisaidie movement za mabadiliko kwa hali na mali. Siyo kujitenga
 
Back
Top Bottom