Kawe Alumni
JF-Expert Member
- Mar 20, 2019
- 8,685
- 11,989
Kabla ya kuja Wazungu mababu zetu waliishi hawakufa na walivumbua vitu vingi ikiwemo viwanda
Naamini wasingekuja tungekuwa mbali sana hizo nguruwe zimetuchelewesha
Naamini wasingekuja tungekuwa mbali sana hizo nguruwe zimetuchelewesha
Mbona KONDOMU, PEDI na DAWA ZA MALARIA mnapokea???
Kabudi kila siku anashinda kuwapigia magoti ili hata watukopeshe ila hapa unajifanya kichwa ngumu.
Hiyo ELFU SABA unayolipwa na Polepole ili kutetea U.HARO anaofanya mzee Meko ni sehemu ya msaada wa hao mabeberu!