Acha kupotosha mkuu kura za kigamboni zilihesabiwa mubashara tukiwa tunashuhudiaMakonda alipata kura nyingi kuliko Ndugulile ila Shujaa Magufuli akavuta waya na kuagiza Faustine awe namba 1 😂🔥
Hata yeye anajua hili
Ye anaamini alishindana akashndaKwa hiyo unathibitisha kuwa uchaguzi ulikuwa na dosari?? Kuna tofauti gani kati ya alichokisema na ulichosema?
2025 kama hajastaafu kuanza kula fuba la Waziri mkuu mstaafu, atashindanishwa.Kassim Majaliwa alipita bila kupingwa
4CCM ni janga la kimataifa, we said it na tutaendelea kusema kuwa CCM hawawezi kushinda haat kwa kura moja halali. ACHENI MUNGU AITWE MUNGU. sasa hivi wanakuja kumtukana Ndugulile
Msg imefika, Mama 2025 hakuna kugombea peke yako,watu wanaanza kum challenge Mama na form yake moja ya urais!!"Uchaguzi wa 2020 ulikuwa na dosari ambayo hatuwezi kuificha, haiwezekani wagombea wa upinzani tu ndio hawakujua kujaza fomu ipasavyo halafu wagombea wa CCM wakaweza kujaza fomu ipasavyo kila mahali” Dkt. Faustine Ndugulile.
Ndugulile amesema haungi mkono suala la wagombea kupita bila kupingwa “Mtu kama unajiamini kwa nini upite pasipo ushindani..?”
Hata hivyo Ndugulile amesema alikuwa na uhakika wa kuwashinda wapinzani wake kwenye uchaguzi wa ndani ya CCM akiwemo aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Bw Paul Makonda, ambaye kwa sasa ni katibu muenezi wa CCM Taifa.
“Mimi sijawai kuwa na uchaguzi rahisi kigamboni na uwa sipendi uchaguzi mwepesi, hata 2015 niligombea na vigogo wengi akiwemo mtoto wa Rais Mkapa lakini nilishinda” Ndugulile.
Heri yenu mnaotambua na kukubali mapungufu yaliyojitokeza kwenye uchaguzi uliopita.lakini kwa namna moja au nyingine bado haiingii akiliini.ilikuwa vipi mkakubali dhambi hii?"Uchaguzi wa 2020 ulikuwa na dosari ambayo hatuwezi kuificha, haiwezekani wagombea wa upinzani tu ndio hawakujua kujaza fomu ipasavyo halafu wagombea wa CCM wakaweza kujaza fomu ipasavyo kila mahali” Dkt. Faustine Ndugulile.
Ndugulile amesema haungi mkono suala la wagombea kupita bila kupingwa “Mtu kama unajiamini kwa nini upite pasipo ushindani..?”
Hata hivyo Ndugulile amesema alikuwa na uhakika wa kuwashinda wapinzani wake kwenye uchaguzi wa ndani ya CCM akiwemo aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Bw Paul Makonda, ambaye kwa sasa ni katibu muenezi wa CCM Taifa.
“Mimi sijawai kuwa na uchaguzi rahisi kigamboni na uwa sipendi uchaguzi mwepesi, hata 2015 niligombea na vigogo wengi akiwemo mtoto wa Rais Mkapa lakini nilishinda” Ndugulile.
Mbunge ni mpaza sauti tu, mleta maendeleo ni serikali.Huyu ye mwenyew watu wa kigamboni tushamchoka..! Tangu naanza kujielewa si chini ya miaka 10+ nasikia yeye ni mbunge wa huku kigamboni! lakin kila siku kigambon ipo vilevile
😂 Kumekucha.. yan kwa ulivyomtafsiri mbunge kirahisi hapo sidhani kama kungekuwa na umuhimu wa wabunge wa majimbo serikalini! Yan wangekuwa wanakutana wenyekiti na wangepaza sauti vizur kabixa kama ndio wabunge kazi yao n kupaza tu sauti...Mbunge ni mpaza sauti tu, mleta maendeleo ni serikali.
Ndungulile sio bubu bungeni, anatetea mengi ya kigamboni
Magu alisimamia msimamo kuwa kama kakupa nafasi kisha ukajitia tamaa kugombea nafasi nyingine haupati.Makonda alipata kura nyingi kuliko Ndugulile ila Shujaa Magufuli akavuta waya na kuagiza Faustine awe namba 1 😂🔥
Hata yeye anajua hili
Penye ukweli siku zote hubaki kuwa ukweli. Hii wala sio legacy bali ni madhaifu yake.Legacy inatiwa dosari
Ni kweli uchaguzi ulikua na dosari. Lakini ili tumuone ana nina njema atoe hoja Bungeni sheria ya uchaguzi iboreshwe. Nje ya hapa anatafuta kiki kwa jambo linalojulikana tayari."Uchaguzi wa 2020 ulikuwa na dosari ambayo hatuwezi kuificha, haiwezekani wagombea wa upinzani tu ndio hawakujua kujaza fomu ipasavyo halafu wagombea wa CCM wakaweza kujaza fomu ipasavyo kila mahali” Dkt. Faustine Ndugulile.
Ndugulile amesema haungi mkono suala la wagombea kupita bila kupingwa “Mtu kama unajiamini kwa nini upite pasipo ushindani..?”
Hata hivyo Ndugulile amesema alikuwa na uhakika wa kuwashinda wapinzani wake kwenye uchaguzi wa ndani ya CCM akiwemo aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Bw Paul Makonda, ambaye kwa sasa ni katibu muenezi wa CCM Taifa.
“Mimi sijawai kuwa na uchaguzi rahisi kigamboni na uwa sipendi uchaguzi mwepesi, hata 2015 niligombea na vigogo wengi akiwemo mtoto wa Rais Mkapa lakini nilishinda” Ndugulile.
Kada Mwenzako yeye ana akili kuliko nyie Malaya wa siasa wa LumumbaKuongea ukweli pia ni jambo jema.