Heparin
Senior Member
- Sep 24, 2021
- 127
- 420
Amebainisha kuwa pamoja na uwepo wa ongezeko la watu, umeme tunaotumia unatokana na maji ambayo hupungua kutokana na uharibifu wa mazingira unaofanywa na watu kwenye vyanzo vya maji hayo, kitendo ambacho hupunguza uzalishwaji wa umeme wa kutosha.