Dk. Slaa: Si uhaini kumng'oa rais Kikwete kabla ya 2015

How the situation will be if by using the terms of the law, the most of the local governments has been thrown out, but leaving the president at the position.....! Can you agree with me that it is like a tree that its roots has been removed? It is not necessarily to deal directly with the president....! But, a process of ruling out the president's agencies (the local governments), by using the existing laws and powers of the people according to the current constitution will weaken the whole government and the president himself.....! Kuung'oa mti sio lazima uushike shina, bali kwa kuweza kukata mizizi yake, yeyote anaweza kuuangusha mti mzima tena kiurahisi mno....! So, it is better for everyone to think twice, thrice.... before responding to any comment(s).
Haya bana, lets wait and see if plan B will success
 
Kama kweli Dr Slaa kasema hivi,basi atakuwa amechemka na kajishushia hadhi.Mfano wa Rais na Mwnyekiti wa Kijiji wapi na wapi?

That is politics game and philosophy ndugu yangu. Inategemea alikuwa anaongea na audience ipi. Chukua kitu in full context. Huyu aliyeweka thread hajatoa habari na mazingira yote. Si ajabu mwandika uzi huu alitaka reaction kama ya kwako. Akamnukuu Dr. out of context.
 
Kama mfano mdogo aliyotumia Dr. slaa imekuwa shida kwa watu wengi ndani ya JF kuipa tafsiri sahii tumekwisha, mwanakijiji fungua shule ya elimu kwa watu wazima ndani ya JF.
 
Hiyo ndiyo Sheria aliyosoma dr slaa bora akagombee uenyekiti wa kijiji huko kwao Karatu kwa urais anadhihirisha kua hatoshi.ndiyo maana alishindwa kusimamia. canon law akafukuzwa upadri!

Huna uhakika na unachokiandika. Dr. Slaa hakufukuzwa upadre. Get his details before you write anything.
 
Hatukatai rais anaweza kuondolewa na bunge lakini kwa maandamano na uchochezi kama unaofanyika ni KINYUME CHA KATIBA
 
Back
Top Bottom