mimi sichezi karata
Naogopa kuolewa
Na nkiramba Garasa
Watu watanizomea...X2
bao la KETE
Hata akimiliki treni na reli yake,mimi kabwela inanisaidia nini,hebu tuwe busy na mambo ya maana bana aaaghh!!!*&%:;'*
Hapa unazungumzia Toyota Vitz Vogu au unazungumzia Range Rover Vogue?Me nawashangaa halafu hawa wote nafikiri hawajui mambo ya magari wakisikia vogue wanachetuka u na kufikiri ni gari la milioni mia.vogu za milioni nane zimetapakaa kila mahali na mikopo hi mtoto wa kike anashindwa nini kukopa anunue kama mshahara anao?Halafu nyie wanawake wenzangu mnajilaani na midomo yenu hiyo maneno ya kusema mwanamke aategemea uchi utabakia hivyohivyo na hutakuwa na uwezo wa kununua chako hata siku moja ukisubiri V ikuletee.shauri zenu
siyo sura wala mashine ni 0713Sura mkuu,
Halafu uzuri wa gari, mashine kaka!!
Nimekua nikiwasikiliza mchomvu muda mrefu akimwambia fetty kwamba vogue lake kalitoa wapi? Je ni kweli Huyu Fatma Hassan(DJ Fetty) anatembelea vogue?