DJ Fetty na Vogue!

King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
51,603
68,514
Nimekua nikiwasikiliza mchomvu muda mrefu akimwambia fetty kwamba vogue lake kalitoa wapi? Je ni kweli Huyu Fatma Hassan(DJ Fetty) anatembelea vogue?
 
Jamani alokua nacho hasemi,kama anacho tutakiona bila ya yeye kupiga upatu,sijui kwanini watu wakipata mtu mwenye gari mara ishakua yao nakujitangazia sijui ndio wale waliozowea kupanda daladala sasa wakipata gari lazima wote wajue...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom