Diwani mwingine (CCM Mwanza) ahamia CHADEMA

Breaking News,
Jinamizi la Viongozi wa Chama cha Mapinduzi kuhamia CHADEMA sasa limehamia Mwanza.
Diwani wa Kata ya Nyampulukano, Jimbo la Sengerema Mjini amehamia Chadema leo hii, Arusha Mambo itakatisha kwa muda matangazo yake kutoka Dodoma na kuwaletea mahojiano ya moja kwa moja na Diwani huyo kutoka Mwanza.

Saa ya ukombozi inanukia
 
wakati wan-ccm wakihamia chadema, chadema kwenyewe kuna vurugu za chini kwa chini, kwa mfano huu;

mbunge wa viti maalum lucy owenya kwa kushirikiana na baba yake ndesamburo, walimnunua anthony komu ili agombee ubunge wa afrika mashariki kwa sharti komu amuachie lucy kugombea jimbo la moshi vijijini, sasa komu kapigwa chini, milioni 100 walizotumia zimeenda chini sasa hofu ni kwamba kama komu ataendelea kugombea moshi vijijini ni mvutano mkubwa. Hiki ni chama kinachotarajiwa kuwakomboa watanzania. Tafakari.

Mbowe aliingilia kati kijanja ili wagomee uchaguzi ili kumkomoa mzee ndesamburo kwa vile hawaivi lakini ikashindikana baada ya komu kulazimisha kuendelea na mchakato huo, kisa? Shilingi milioni 100 za ndesamburo famili.

Kabla jua halijazama utakuwa umeshapigwa BAN!
Taarifa za kizushi hizi huna source huna vielelzo!
 
'Hamisi Mgwao' maarufu kama 'Tabasamu'.Kama ndiye mmiliki wa ile Tabasamu Hotel pale Sengerema..basi ukombozi umekaribia maana zamani wafanyabiashara walikuwa wanaogopa kujiunga na upinzani.
 
nimeipenda anakaribishwa lakin afuate utaratibu wa hiki chama cha wananchi CHADEMA
 
Mh. Hamis Mwagao aliyekuwa Diwani wa Kata ya Nyampulukano (CCM), Jimbo la Sengerema Mjini amesema anakihama Chama chake kwa kuwa kimeshindwa kuifanyia kazi taarifa ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serekali kuhusu wizi uliotokea katika Halmashauri yake ikiwa ni pamoja na malalamiko ya kugawanywa kwa mipaka katika Halmashauri hiyo kwa sababu za kisiasa.

Mh Lema ambaye yuko Mwanza kwa sasa akisubiri Rufaa ya Kesi ya Ubunge Jimbo la Arusha mjini akiongea na Arusha Mambo amesema Honeymoon aliyopewa ataitumia vizuri katika kazi za m4c ili kuidhihirishia Dunia kuwa Watanzania wamechoka na wanahitaji Mabadiliko.
 
Thanks for updates mkuu!

Now comfirmed kutakuwa na mkutano wa hadhara kesho....Wananchi Geita wamehamasika,vijana wanaonyanyaswa kwenye machimbo madogo madogo wamekusanyika karibu na Ofisi za Chadema kupata uthibitisho wa mkutano.wengine wanashinikiza kuwe na maandamano kuanzia makao makuu ya Ofisi Geita kwenda viwanja vya magereza kesho.Kwa kweli patachimbika.
 
Chadema tunatisha kuliko njaa Nape kaa chonjo na sisi safari hii

sijui atasema nini masikini Nape haya mateso uliyopewa na baba

Mwanaasha utakufa kabla ya wakati wako, pole sana
 
Mama weeeeee! Mwakyembe, SamSIX, Mgonjwa Magufuli, January manyuzi, Kilango....Msione aibu kufuata nyayo. Hizo ni sala za wana Arusha mjini zinapokelewa na kujibiwa na MUNGU.....
 
document.jpg document 001.jpg

hizo ndizo sababu alizoziainisha , karibu sana kamanda tuikomboe nchi.
 
wakati wan-ccm wakihamia chadema, chadema kwenyewe kuna vurugu za chini kwa chini, kwa mfano huu;

mbunge wa viti maalum lucy owenya kwa kushirikiana na baba yake ndesamburo, walimnunua anthony komu ili agombee ubunge wa afrika mashariki kwa sharti komu amuachie lucy kugombea jimbo la moshi vijijini, sasa komu kapigwa chini, milioni 100 walizotumia zimeenda chini sasa hofu ni kwamba kama komu ataendelea kugombea moshi vijijini ni mvutano mkubwa. Hiki ni chama kinachotarajiwa kuwakomboa watanzania. Tafakari.

Mbowe aliingilia kati kijanja ili wagomee uchaguzi ili kumkomoa mzee ndesamburo kwa vile hawaivi lakini ikashindikana baada ya komu kulazimisha kuendelea na mchakato huo, kisa? Shilingi milioni 100 za ndesamburo famili.

Mila na utamaduni huu haupo CHADEMA......labda huko CUF na CCM
 
Back
Top Bottom