mizambwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2008
- 4,422
- 1,790
Wadau, kwakuwa yeye ni Diwani inamaana ni kiongozi wa kata, sasa inapotokea kuwa amehama chama kimoja kwenda kingine, je nilazima ufanyike uchaguzi mwingine tena kushirikisha vyama vya siasa ?
Uchaguzi lazima ufanyike tena. Kama ingelikuwa ni Mbunge wa kuteuliwa na Chama hapo kweli wangeliteua mwingine. Lakini huyu kwa kuondoka CCM, ina maana kuwa na cheo cha Udiwani pia amekikosa labda agombee tena huko CDM.
MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!