bigcell
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 219
- 60
Kwa kinachoonekana kukerwa na hila na ufisadi uliokithiri ndani ya ccm, diwani wa kata ya sombetini mkoani arusha Diwani Mawazo amejiunga na chadema leo alasiri kwenye mkutano ulioshindikana uliokuwa ukihutubiwa na katibu mkuu wa chadema Dr Slaa ktk viwanja vya nmc unga limited.Pia kwa ujumla hali ya aman arusha imechafuka raia wema wamepigwa risasi za moto,mabom ya machozi na maji yakuwasha yani hali kama baghadad inatisha sana,police it must pay for this... kweli kabisa.