Diwani CCM Arusha ajiunga na CHADEMA

Walio ccm wameoza wote. afadhali kajiwahi kabla hajashambuliwa na wale bacteria waozeshao

^^Fungato haliumizi kuni

swahiba... how do you feel now that you hvae allowed an idiot like andenyege to be in such a special region in our country and east african federation? let alone geneva of africa?

Swahiba, kauli yangu hiyo hapo juu, ni kwa huyo Kaa la Moto. Tabia ya kukebehi na kutukana naona inazidi kushamiri hapa ukumbini.

Aidha kuhusu kadhia ya Arusha ni matokeo ya kudai demokrasia. Hali kama hiyo imeshatokea mara kadhaa hapa nchini na ni tokea uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi (1995). Serikali na vyama vya siasa vilikuwa na muda mzuri wa kujifunza kutokana na yale yaliyowahi kutokea katika visiwa vya Zanzibar mwaka 1995 na mwaka 2000. Hata hivyo kwa hili la Arusha inaonekana wazi kuwa hakuna upande uliojaribu kujifunza.
 
ni kweli mawazo alipanda jukwaani na kusema anamkubali sana dr slaa
Na akasema kwa yoyote aliekuwa akipigana na mkutano
Ulifanyika leo basi anapigana na mungu maana umati uliokuwepo unatisha..akarema hata kura yake hakumpa jk..sikuona akipewa kadi a wala kurudisha kadi ya ccm lkn iwe isi tayari yule atakuja chadema maana hata akienelea kubaki ccm watamtimua tu

Wakati huohuo, katika hali isiyotarajiwa, Diwani wa Sombetini kwa tiketi ya CCM, Alphonce Mawazo, alimkana Rais Jakaya Kikwete mbele ya umati mkubwa wa watu kuwa hakumpigia kura bali alimpigia Dk. Slaa.

Mawazo ambaye aliibuka ghafla kwenye mkutano huo na kulazimishwa kupanda jukwaani, alisema yeye ni mwanamageuzi wa kweli na anaikubali Chadema kwa asilimia kubwa na ndiyo maana katika kura ya urais aliipigia Chadema.

Diwani huyo alisema hayo jukwaani alipokaribishwa na Dk. Slaa na kupewa kipaza sauti na kutamka kuwa yeye ni Chadema ‘damu damu' ndiyo maana alikuwa hapo kusikiliza mkutano huo na kushukuru kupewa nafasi na kueleza azma yake.

Source: Habari leo
 
Great thinker,
Kauli yako ina utata..
Kuichukia CCM tusitumie kama sababu ya kuwatukana wana-CCM wote....
quote_icon.png
Originally Posted by Kaa la Moto
Walio ccm wameoza wote. afadhali kajiwahi kabla hajashambuliwa na wale bacteria waozeshao
quote_icon.png
Originally Posted by Kibunango
^^Fungato haliumizi kuni

quote_icon.png
Originally Posted by Acid
swahiba... how do you feel now that you hvae allowed an idiot like andenyege to be in such a special region in our country and east african federation? let alone geneva of africa?

Swahiba, kauli yangu hiyo hapo juu, ni kwa huyo Kaa la Moto. Tabia ya kukebehi na kutukana naona inazidi kushamiri hapa ukumbini.

Aidha kuhusu kadhia ya Arusha ni matokeo ya kudai demokrasia. Hali kama hiyo imeshatokea mara kadhaa hapa nchini na ni tokea uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi (1995). Serikali na vyama vya siasa vilikuwa na muda mzuri wa kujifunza kutokana na yale yaliyowahi kutokea katika visiwa vya Zanzibar mwaka 1995 na mwaka 2000. Hata hivyo kwa hili la Arusha inaonekana wazi kuwa hakuna upande uliojaribu kujifunza.
Kama unadhani nimesema uongo angalia wana ccm mnavyoshangilia kwa vitu vya ovyo namna hii utajua kwa nini nimesema hivyo. Mimi ni mtu makini na nimefuatilia sana mwenendo wa wana ccm si hapa jamvini tu, na ninadhani kauli yangu ilikuwa sahihi kwa asilimia 85%.
Usichukie ndivyo wengi wenu mlivyo.
 
hahahaaaaaaaaa! kumbe alipiga kura ya meya akijua wazi nafsini hana amani. Heri katii nafsi yake
Hili CCM walikuwa wanalitambua ndiyo maana hawakutaka uchanguzi ufanyike na wiki moja kabla walikuwa wana hangaika sana kuwatafuta madiwani wa chadema ilikuwa kuwashikisha pesa za moto...hali iliyopelekea chadema kuficha baadhi ya madiwani wake na hii ilisababishwa na tetesi kuwa Mawazo na diwani mwingine wanaiunga mkono CDM....
 
Mawazo ni friend wa Lema (MP) hivyo simshangai sana kwa hayo. Kuwa CCM anajilazimisha tu.
 
Hili CCM walikuwa wanalitambua ndiyo maana hawakutaka uchanguzi ufanyike na wiki moja kabla walikuwa wana hangaika sana kuwatafuta madiwani wa chadema ilikuwa kuwashikisha pesa za moto...hali iliyopelekea chadema kuficha baadhi ya madiwani wake na hii ilisababishwa na tetesi kuwa Mawazo na diwani mwingine wanaiunga mkono CDM....
Jamani nanii ukuje huku kaburi limefukuriwa
 
Watueleze kama walitumia mfumo wa EFD ama risiti za kawaida kuidhinisha malipo?! Maana ndiyo lugha wanayoielewa hawa!
====
Shame on them!!
 
Hama hama nzuri ikiwa wanaohamia wanakwenda chadema,kwa vyama vingine inakuwa wamenunuliwa.
 
Back
Top Bottom