Diwani CCM Arusha ajiunga na CHADEMA

bigcell

JF-Expert Member
Oct 6, 2010
219
60
Kwa kinachoonekana kukerwa na hila na ufisadi uliokithiri ndani ya ccm, diwani wa kata ya sombetini mkoani arusha Diwani Mawazo amejiunga na chadema leo alasiri kwenye mkutano ulioshindikana uliokuwa ukihutubiwa na katibu mkuu wa chadema Dr Slaa ktk viwanja vya nmc unga limited.Pia kwa ujumla hali ya aman arusha imechafuka raia wema wamepigwa risasi za moto,mabom ya machozi na maji yakuwasha yani hali kama baghadad inatisha sana,police it must pay for this... kweli kabisa.
 
police it must pay for this... kweli kabisa.

asante kwa taarifa ila next time andika 'Police must pay for this' and not police IT must pay for this. . . .au kama vipi chapa lugha ya taifa so issue
 
asante kwa taarifa ila next time andika 'Police must pay for this' and not police IT must pay for this. . . .au kama vipi chapa lugha ya taifa so issue

Acha complications, message delivered.
 
Kama ni kweli ni habari njema. Pia polisi wetu wabadilike wasiwe wakereketwa wa ccm. Nguvu wanayotumia kuyazuia maandamano waitumie kuyalinda maandamano.
 
hahahaaaaaaaaa! kumbe alipiga kura ya meya akijua wazi nafsini hana amani. Heri katii nafsi yake
 
Wenye akili walishaikimbia CCM na ujambazi wake siku nyingi. Kama hilo limetokea itakuwa sawa na ngumi ya chemba moyo kwa CCM
 
Sijui na mimi nihame CCM?nina akili lakini bado niko CCM???

Unasubiri nini Michelle!
Jina lako na kukutazama tu inanishawishi kusema ulitakiwa kuwa umejitoa siku nyingi, it doesnt matter ukibaki bila chama.
 
Walio ccm wameoza wote. afadhali kajiwahi kabla hajashambuliwa na wale bacteria waozeshao
 
híi taarifa ni nzuri lakini inahitaji indepedent verified source of info
 
Kama ni kweli ni habari njema. Pia polisi wetu wabadilike wasiwe wakereketwa wa ccm. Nguvu wanayotumia kuyazuia maandamano waitumie kuyalinda maandamano.
ni kweli mawazo alipanda jukwaani na kusema anamkubali sana dr slaa
Na akasema kwa yoyote aliekuwa akipigana na mkutano
Ulifanyika leo basi anapigana na mungu maana umati uliokuwepo unatisha..akarema hata kura yake hakumpa jk..sikuona akipewa kadi a wala kurudisha kadi ya ccm lkn iwe isi tayari yule atakuja chadema maana hata akienelea kubaki ccm watamtimua tu
 
Asante sana ni bora nisiwe na chama kuliko kuwa CCM.
Unasubiri nini Michelle!
Jina lako na kukutazama tu inanishawishi kusema ulitakiwa kuwa umejitoa siku nyingi, it doesnt matter ukibaki bila chama.
 
Hivi tukisema hawa mapolisi wanatumiwa na CCM itakuwa tunakosea kweli?????
 
^^Fungato haliumizi kuni
swahiba... how do you feel now that you hvae allowed an idiot like andenyege to be in such a special region in our country and east african federation? let alone geneva of africa?
 
Back
Top Bottom