Dina Marios ajiunga E-Fm Radio

mkonowapaka

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
1,493
767
Huyu dada alikua mtangazaji mzuri sana Clouds Fm kipindi cha Leo Tena.

Aliacha mda mrefu bila sababu za msingi sana.

Namkubali sana huyu dada namtakia kila la heri huko
 
afadhali kaondoka alikua anajishusha hadhi sana kua kwenye lile genge la wahuni
 
Millard hawezi kuondoka pale. Pale ndo panapoikuza tasnia yake.
millard ataondoka cloudz mana wale jamaa ni wanyanyasaji na wanyonyaji cloudz watu wanakuza jina tu ila sio sehemu ya kuka ile
 
cloudz ilikuwa enzi za kina gadner g habash watangazaji wengi unao waona cloudz ye ndo kawaleta akiwemo millard na adam
 
Aondoke tu maana sasa hakuna namna!Redio tulisahaichoka kitaambo?

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
namkubali sana huyu dada dina, sauti nzuri, ana uelewa mpana wa mambo
 
Kwa Mara ya kwanza ngoja nishare umbea hivi karibuni insta btn zamaradimketema and Dina marios kulizua halii tete mno michambo plus matusi pomoni.... Inasemekana kua zama ndo kachangia kumuondoa Dina kisa Tu anatoka na ruge mutahaba mkawafollow huko japo zama anabisha kwa kupindisha pindisha maneno Dina nae anasema Hana ugomvi ILA pakawa hapatoshi huyu anatupa dongo yule anashusha waraka.
 
Sidhani kama kuna radio inasikilizwa TZ kama clouds. Huko kaenda ota jua tu.
 
Huyu dada alikua mtangazaji mzuri sana Clouds Fm kipindi cha Leo Tena.

Aliacha mda mrefu bila sababu za msingi sana.

Namkubali sana huyu dada namtakia kila la heri huko

Aisee Mungu amtangulie, Naamin huyu dada atafka mbali sana, na saut yake yenye mvuto, Na bora kajitambua kutoka pale
 
Back
Top Bottom