Mtangazaji Amani Mbilo wa Radio One kuwa makini usikuambukizwe tabia ya kuchukia wanaume ukakosa mume

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,646
109,025
GENTAMYCINE nikiwa kama Balozi wa Kujiteua Mwenyewe Kilazima wa Kipindi nikipendacho cha Mazungumzo ya Familia kinachorushwa na Super Brand Radio One kinachoanza Saa 1 na Nusu Asubuhi hadi Saa 4 Kamili Asubuhi kila Siku za Jumapili nimeanza kuvutiwa na Mtangazaji wa Kiume Haji Kibwana kwa jinsi anavyomnyoosha kwa Hoja Dada yangu Kipenzi na Mtangazaji wangu Bora wa Kike Tanzania nzima Farhia Middley hasa akianza kutusema vibaya Wanaume na Kutuzodoa kuwa tunakengeuka Kiupendo, Kimaadili na Kimalezi.

Leo (Jumapili) Studioni aliibuka Mtangazaji wa Kike (Binti Mrembo) Amani Mbilo (Ngoni Queen) ambaye kama Balozi mwanzoni alianza vyema kwa kuwa Neutral ila nahisi labda kuna muda Dada Farhia Middley alimpiga mkwara kuwa asipotukandamiza Wanaume basi ama hatompa Lifti katika Gari yake au hatomnunulia Supu katika Kijiwe chake kimoja Dada Farhia Middley ambacho nakihifadhi.

Mara ghafla nikaanza Kumsikia Dada Amani Mbilo akiadilika na kuanza Kutukandamiza vilivyo Wanaume akishirikiana na Pacha wake wa Kutuchukia Wanaume Dada Farhia Middley.

Ila tunamshukuru mno Mzee Haji Kibwana kwa Kuwamudu vilivyo wote huku Mgeni na Mwanasaikolojia ninayemkubali Dk. Charity Xavery Johnson akiwa Mtu Kati (japo sometimes Urembo wa Dada Farhia Middley hasa Macho yake, Nywele zake na Mdomo wake mzuri ambao hata Mimi napagawa navyo sana ila Kumtokea naogopa kwakuwa sina Pesa, humfanya aone Aibu) kumpa Makavu kama afanyavyo Shujaa wetu Mtangazaji Mzee Haji Kibwana.

Dada yangu Amani Mbilo kuwa makini na Udadavuaji na Uchangiaji wako (hasa katika Kipindi hicho) kwani kwa Kumuiga Shoga yako/Pacha wako Dada yangu Kipenzi Farhia Middley utasababisha Wanaume (sisi akina GENTAMYCINE) tukushtukie mapema na tushindwe kutaka Kukuoa na ukaanza sasa Kuzurula hovyo Makanisani ukitaka Uombewe na Wachungaji wa Uongo na Kweli ili upate Mume wa Kukuoa. Shauri yako!

Kama wewe ni mwana JamiiForums halafu hukisikilizi hiki Kipindi kizuri cha Mazungumzo ya Familia cha Radio One kinachoelimisha, kinachofundisha na kinachoburudisha basi utakuwa unakosa vingi mno vya kukusaidia Wewe, Mkeo, Wanao, wana Familia na Ukoo na Jamii yako inayokuzunguka kwa ujumla.

Tafadhali anzeni Kukisikiliza kwani hamtojuta. Kama GENTAMYCINE "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" nakisikiliza kila Jumapili kuanzia Saa 1 Asubuhi na Nusu hadi Saa 4 Kamili Asubuhi Wewe ni nani ukose Kukisikiliza au usiwe Unakisikiliza?

Mazungumzo ya Familia Hongereni.

OMBI

Tafadhali ukiuchangia huu Uzi wangu jikite zaidi katika Content husika na sitopenda kuona tunaanza kumchafua au hata kumdhalilisha Mtangazaji Dada Farhia Middley au hata Mwenzake Dada Amani Mbilo kwani kama ni Mapungufu huenda Mimi GENTAMYCINE na Wewe ndiyo tukawa tunayo yetu makubwa, ya Kusikitisha na ya Aibu Kuelezeka na Kusimulika ila kwakuwa hatujulikani tu ndiyo pona pona yetu.

Tuchangie tu Kistaha na Kinidhamu.
 
Jamani wanaume tujitahidi kila mtu kwa nafasi yake anapompata mwanamke ampelekee moto vizuri tu, hizo nyingine ni GENYE wazee.
 
bila angalizo, onyo, karipio kali au tahadhari sichangiii, Full stop...
 
Back
Top Bottom