Dena Dena Dena Dena Dena Amsi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Lakin jitahidi bana kuji-Vodacom . . . .
Maana mpaka umeanzishia Sredi, ni ushahidi kwamba UMEFURAHI.
Nitakusaidia kukutangaza
 
Aaagh Dena vp tena...ile post ya posa la uchumba uliikubali maguu 100...tulijaribu kukutetea,ukatu-diss ukadai tuna wivu kwani we ni msichana lazima uolewe...sasa leo vp ??mbona na wewe waanzisha sredi nyingi ku-complain same??umezijibu kwa kunoga na watu nao wamenogewa....kwanini isiwe kwa Afrodenzi au Preta au pauline,au lizzy au mwanajamii 1 na wengine??hawa hawataki mambo ya kijingajinga na wanajua kudeal na hivi vifataki!!ndio maana hukuti mada za ajabu kuhusu hao watu.

Nahisi more is coming if u dnt take right measure on tht..sijui ukiona fahari ama??imekula kwako!!

Kula 5 Sizinga. Umeongea ukweli na umuingie mpaka kuroho
Akikua ataacha. Mwanamke kuwa na msimamo bwana siyo kujifanya sitaki nataka.
 
Wanakupenda mwaya usichukie nimeona comment za watu kama wanahasira na wewe pole bidada ndo ukubwa huo kuna watu na viatu
 
Dena bana
Yaani unaji-Vodacom mwenyewe????
Najua unatania tu, na hapa unaburudika kimoyo-moyo
Yaani hapa unafanya SITAKI halafu moyoni NATAKA
Njia unazijua kama uko serious. Mods wapo kibao, wanaoanzisha unawajua
Au ndo yale ya Sumaye na UVCCM??? teh he he he he he

Hii comment kiboko nadhani kaisoma
 
Ujue watu wanakupenda,japo wengine wanaweza kuwa na mawazo mengine mbali na threads zako.Tuliza boli mdau.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom