Mabadiliko MMU

Dena Amsi

R I P
Aug 17, 2010
13,082
4,262
Wapendwa habari za jioni.!!!

Hapa kuna kitu nimekigundua JF especially MMU.

Watu tulitoa ushauri wa kuanzishwa jukwaa la kutafuta wachumba maana hizo thread zilizidi sana na kuudhi kwa kiasi fulani hivi. watu wakaelewa na kasi ikapungua kabisa.

Sasa naona kuna jipya limeibuka tena "Namzimia DA", "Naizimia Avatar yake", "Napenda anavyochangangia" nk (Kwa wale waliowahi kunianzishia thread samahani sana mnisamehe sina nia mbaya bali kuwekana sawa)

Jamani kama unampenda mtu, comments, avatar, na mengine mengi yake kindly hebu mtumie PM basi ili kupunguza thread zisizotaka ushauri.

Tuwe na zile za kuombana ushauri na kusaidiana wapendwa katika mahusiano, mapenzi na urafiki .

Samahani kama nimewakwaza wale wote mliowahi kuanzisha thread kama hizi. Ila jamani tuambizane ka ukweli saa nyingine..................

Kind Regards

Dena Amsi
 
Aisee! Hebu njo huku mpwapwa nitakugharamia kinywaji kimoja ila nauli juu yako.
Hizo muviz zilizidi. Nashukuru stelingi mkuu umeamka.
 
Halafu wewe acha utani karibu na ukweli unajua niko ving'awe kwa sasa wewe uko mpwapwa gani.............

Kinywaji andaa valuu chupa kadhaaa.......................................
 
kupendwa hadharani kuna raha yake.....sema ukweli umwaibishe shetani hukufurahia kuona umerushiwa thread???mie nasubiri klorokwini anianzishie!:bored::bored::bored::tape:
 
Saaly hivi hawa member wote wakianzisha thread yakuzimiana yakupendana itakuwaje?????????????? Sioni sababu ya kufanya hivyo (kwa upande wangu)
 
Wapendwa habari za jioni.!!!

Hapa kuna kitu nimekigundua JF especially MMU.

Watu tulitoa ushauri wa kuanzishwa jukwaa la kutafuta wachumba maana hizo thread zilizidi sana na kuudhi kwa kiasi fulani hivi. watu wakaelewa na kasi ikapungua kabisa.

Sasa naona kuna jipya limeibuka tena "Namzimia DA", "Naizimia Avatar yake", "Napenda anavyochangangia" nk (Kwa wale waliowahi kunianzishia thread samahani sana mnisamehe sina nia mbaya bali kuwekana sawa)

Jamani kama unampenda mtu, comments, avatar, na mengine mengi yake kindly hebu mtumie PM basi ili kupunguza thread zisizotaka ushauri.

Tuwe na zile za kuombana ushauri na kusaidiana wapendwa katika mahusiano, mapenzi na urafiki .

Samahani kama nimewakwaza wale wote mliowahi kuanzisha thread kama hizi. Ila jamani tuambizane ka ukweli saa nyingine..................

Kind Regards

Dena Amsi

dena nimekuzimia wewe,avatar yako na sredi yako,niPM basi ili nikupe details...
 
Mbaya zaidi sidhani kama watu wenyewe hua wanakua wakweli...ni kama kampeni ya kutafuta umaarufu.Maana mtu umezimia michango yake kweli alafu hata siku moja hujawahi kumPieM umjulishe unakuja kumwaga habari jamvini.DA hongera kwakusema!Wandugu hopefully mmesikia na kuelewa!
 
Details za kuzimia au za room number?
Mkuu si unajua kuwa mkoloni binafsi laki ni pesa!? Leo nilijikamata mwenyewe....
 
Mbaya zaidi sidhani kama watu wenyewe hua wanakua wakweli...ni kama kampeni ya kutafuta umaarufu.Maana mtu umezimia michango yake kweli alafu hata siku moja hujawahi kumPieM umjulishe unakuja kumwaga habari jamvini.DA hongera kwakusema!Wandugu hopefully mmesikia na kuelewa!

Lizzy Ushekh Yahya umeuanza lini????? Hiyo bluu hiyooooo
 
Halafu wewe acha utani karibu na ukweli unajua niko ving'awe kwa sasa wewe uko mpwapwa gani.............

Kinywaji andaa valuu chupa kadhaaa.......................................

ukishuka tu hapo nibip nije kukuchukua.
Chupa kadhaa ngapi bwana, ofa chupa moja tu. Kesho unapanda gari unarudi.
 
Mbaya zaidi sidhani kama watu wenyewe hua wanakua wakweli...ni kama kampeni ya kutafuta umaarufu.Maana mtu umezimia michango yake kweli alafu hata siku moja hujawahi kumPieM umjulishe unakuja kumwaga habari jamvini.DA hongera kwakusema!Wandugu hopefully mmesikia na kuelewa!

nini kumpiem, hakuna cha thanks wala like aliyokugongea. Hajakuadd as a friend wala nini. Unajua kumpenda mtu sio hadi utangaze kwa watu. Watu wanaweza kuona tu fulani anampenda fulani.
 
Umenisemea maneno yangu kabisa ha ha ha ha
 
Nionavyo mimi dawa hapa ni kuzipotezea tu mada kama hizo. Lakini mtu anapoanzisha mada kama hiyo halafu inachangikwa hadi kufikia kurasa kadhaa, kufanya hivyo kunawatia hamasa na wengine kuiga na kuanzisha za kwao kwa lengo ambalo wanalijua wenyewe.

Wewe mada ya kumpenda mtu fulani inageuzwa inakuwa kijiwe cha stori unategemea nini? Lazima itazaa mada zingine za kufanana. Jaribuni safari ijayo kuipotezea mada ya aina hiyo muone itakavyopotea haraka. Na ikipotea haraka namna hiyo uwezekano wa kuvunjika moyo kwa yule aliyekuwa anataka kuanzisha nyingine unaongezeka na pole pole tutaanza kuziona zikififia.

Kwa hiyo wito kwa wote humu ni kutozitukuza mada za 'nampenda fulani' au 'nimemzimia fulani' au 'fulani ananirusha roho'. Ni rahisi tu kama vile kuhesabu moja, mbili, na tatu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom